Shkamoo mwezi januari!

Shkamoo mwezi januari!

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,599
Reaction score
1,801
Duh! Jamani hii hali ngumu hata pesa mfukoni haikai ada za shule! Nauli za wanaowahi mashuleni, wakunikopesha hakuna! Natamani hata kujinyonga! Aaaagh!
 
Hicho kichwa cha habari kimenichekesha mpaka mkoloni kaniangalia.

Ni PM nikukopeshe
 
mkuu usijali mwaka unaenda kwa spidi ya mwanga....tayari tumeshauchakaza..bado siku chache tuingie february...mambo inawezekana yakaanza kulainika
 
mkuu chonga kibubu jan-dec kidogo itakupunguzia machungu
 
Back
Top Bottom