kakuruvi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2009
- 770
- 256
Mtoto mmoja alirudi kwao akiwa amenuna kinoma! Mama yake akamuuliza, "Kulikoni?" Mtoto akajibu, "Leo mwalim wa Hesabu hajafika shule!" Mama akafurahi akijua mwanae anapenda sana Hesabu. Akamwambia mwanae, "Nitakutafutia mwalim wa Tuition, eeh!" Mtoto akajibu, "Hapana mama! Huyu mwalim ndio huwa anatuuzia ubuyu!