Almaarufu dereva Maralia maralia..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Almaarufu dereva Maralia maralia.....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Yo Yo, Jan 18, 2012.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Wakuu mnamjua huyu dereva? ni maarufu sana hapa town ila sijui kama bado yupo town....anapiga ruti za feri mbagala rangi tatu....
  Msela ni chizi yaani chizi haswa.....why?

  huyu msela bana.....siku moja katoka feri kimazabe mazabe..full miyeyusho kwa abilia...kakata kule kavuka kule yaani ilikuwa ni khatari sana....abiria wakafunguka roho....wakafunguka kichizi msela aendeshe vizuri.....wakina mama na samaki zao walikuwa wamekaa pale mbele....basi full mikelele wanampasha.....wanamsema ovyo...mixa vijembe vya traventine.....
  Nyuma kwenye dcm jamaa nao walikuwa wanawaka kichizi na kumtishia kumpa za chembe kama akiendelea kuendesha kiuchizi uchizi...
  ...wakuu muda woote huo jamaa kauweka kimyaaaa.....tena na akawasha fegi yake SM....hapo ndio miksa makelele kwa abiria yakaongezeka.....

  Basi mchizi kufika kwa aziz alli akashuka kununua fegi akamuita konda wake pembeni akamwambia....ebana eeh konda umeshachukua hela yako??? konda akasema yah man!!! akasema...nikifika kwenye mteremko kuelekea ktm achia...yaani aruke chini uku gari ikiwa mdodo mdogo....konda akashangaa shangaa...ebo.....kwanini? akamwambia fanya hivyo!!! kumbuka suka huyu ana AKA yake anaitwa maralia maralia....anamjua suka wake ni chizi....konda akaunyuti....

  Unaambiwa mchizi kufika pale kwenye kimteremko umetoka mtongani unaelekea kwenye kiwanda cha KTM....si kuna ka down fulani hivi pale? tehe tehe akapunguza kidogo...akaita kondaaaaa.....tehe tehe konda akaachia...huyo chini....suka akaweka gia akafungua mlango kisha akawaambia abiria.....si mlikuwa mnaongea ongea sana haya la kwenu hilo....akaruka tehe tehe
  Abiria walidata mchuma uko moto chini unashuka chini.....ilikata kata watu miguu balaa....maralia maralia alipotea miaka mi3 mjini......huyo ndio maralia maralia bana....
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jan 18, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Ungeiweka hii kupitia Ufudu ungejizolea wapenzi!
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  arifu niaje......huyu suka maralia maralia ni sooo
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Nimeshangaa sana leo!
  Kumbe chipsi ni viazi??
   
 5. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #5
  Jan 18, 2012
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  HAHAHAHAAAAAAH MI HOI, ILA mimi nilimkuta maralia kule Naliendele mkoani Mtwara kawa mkulima, na hii ni pic yake sijui kama utamkumbuka ukimuona leo
  [​IMG]
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jan 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  yoyo hujaimalizia stori yenyewe ....
   
 7. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  bwahahahaha aiseeeeee.... hili nguna balaaaa
  arifu ilivyoisha ni vilio tu mkuu wangu.....
   
 8. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #8
  Jan 18, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wacha kuharibu jina la mjombangu wewe... Sio Maralia Maralia ni Malaria Malaria!
   
 9. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Kama malaria malaria alitisha routr ya mbagala basi ajue kuna bingwa mwenge posta alikuwa maarufu sana sasa ni marehemu!alikuwa anaitwa TUPAC!waulize waliosoma makongo au kijiwe cha posta enzi hizo ZERO BRAIN
   
 10. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ilikuwa mwaka gani hiyo mazee?
   
 11. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,163
  Trophy Points: 280
  abilia = abiria
   
 12. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,584
  Likes Received: 848
  Trophy Points: 280
  kifimbo cheza
   
 13. maishapopote

  maishapopote JF Gold Member

  #13
  Jan 19, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 2,000
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  malaria sugu>>>>> Maralia maralia>>>>Malaria malaria
   
 14. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  sikumbuki mwaka arifu......ila abilia waliangaika nalo kweri kweri
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  umenikumbusha wamasa..gazeti la sani
   
Loading...