JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
wanasikia hivi, watu wa Europe, Asia na Marekani 👇🏾
2 Reactions
4 Replies
110 Views
Hakuna aliye dhaifu sote ni wenye nguvu na washindi.Wengi wanakukatisha tamaa kwenye safar yetu ya upambanaj. usitege sikio wala kuwasikiliza wapuzilie mbali maana ukiwasikiliza utajikuta...
2 Reactions
3 Replies
64 Views
Wakubwa kwema? Wakati flani kwenye makuzi yangu kuna Brother mmoja alinidanganyaga kuwa LEGEND Roberto Carlos wakati wake akiwa anakiwasha vizuri kwenye soka kuwa alimwambia Dogo lake akidaka...
5 Reactions
13 Replies
178 Views
Usingizi umekata, muda wa kulala bado, unaenjoy maisha, mawazo, furaha au ni sababu gani inafanya uwe hujalala mpaka sasa hivi? Tupige story kidogo: Rangi gani ya ngozi inakuvutia kwa mpenzi...
12 Reactions
240 Replies
2K Views
Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "ChitChat". Ni tumaini langu wote ni wazima. Huu uzi yawezekana ukawa mrefu kuusoma, ila naamini kuna mtu utamsaidia sana endapo atausoma...
11 Reactions
64 Replies
3K Views
Je jina unalotumia JamiiForums limetokana na nini? Why uliamua kujiita hivyo? Binafsi jina nalotumia ni taaluma yangu na kwa sababu naipenda Tanzania likaunga na uzalendo.....
13 Reactions
157 Replies
3K Views
Wakuu, kuna ile ukiwa na pesa ni kama kiwango cha nidhamu ya matumizi huwa kinapotea au kushuka unakuwa unatumia tu. Na baada ya kubaki na kiwango kidogo nidhamu inarudi wakati unasubiri michongo...
12 Reactions
32 Replies
622 Views
Wakuu kwema, Naombeni kuuliza nyie wakishua nataka nipande ndege niende Zanzibar niushtue umasikini kidogo, Kwani lazima niwe na passport au?🤔
7 Reactions
5 Replies
280 Views
Asili haiadhibu uovu, inawaadhibu wanyonge."
2 Reactions
4 Replies
123 Views
Kuna baadhi yetu hatukupata bahati ya kufahamu lugha za asili, na hatujui lugha za nje tunajua kiswahili pekee kwa sababu wazazi hawakuwa wakizutumia kwa sababu walikuwa wa kutoka kabila tofauti...
11 Reactions
134 Replies
1K Views
Ukiingia kwenye jukwaa la JF Garage katika JamiiForums, utadhani wauza magari wa kule wanaishi kwenye ulimwengu wa njozi au uchumi wa nchi ya kufikirika. Malalamiko kuhusu bei zisizo na uhalisia...
15 Reactions
36 Replies
503 Views
Nimeamua rasmi kuondoka JF.🙏🏼 Nimegundua ninapoteza muda mwingi sana humu ndani, nitawamiss sana Wakuu. 👋 Nitarudi baada ya dakika 10
21 Reactions
143 Replies
1K Views
Kama kuna mtu atatokea hapa na kubisha basi huyo ndie rafiki mwenyewe.. Na baadhi ni marafiki zetu hapa JF Unahitaji usaidizi wa kitu kwa mfano ununuzi wa kiwanja, nyumba, gari mtambo nknk Sasa...
24 Reactions
51 Replies
721 Views
Namaste everybody Heshima zenu wakuu. Muziki wa kitambo miaka hio ya wahenga kabla sisi Gen Z hatuzaliwa ulikuwa mzuri sana ukilinganisha na ya sasa. Makelele merngi sana siku hizi Vyombo vya...
8 Reactions
62 Replies
900 Views
Hii tabia imekaa kiupinde sana unakuta mwanaume kabisa ananua kitanda eti bed sofa WTF! Kihalisi kitanda cha kiume ni cha mbao, imeshindikana kabisa basi kiwe cha chuma kisicho na urembo wa sofa...
15 Reactions
91 Replies
2K Views
1. Masanja Mawenge 2.N'kwabi N'gwanakilala 3.Rupondije Inuka 4.Mabula Nkwimba 5.Nyeunge Maneno 6.Budodi. Endeleeeaaa!!
0 Reactions
255 Replies
78K Views
Niliwahi kuguswa na malaika begani kunishtua hatari
8 Reactions
65 Replies
591 Views
Back
Top Bottom