Baba wa mbingu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 547
- 1,329
Wakubwa kwema?
Wakati flani kwenye makuzi yangu kuna Brother mmoja alinidanganyaga kuwa LEGEND Roberto Carlos wakati wake akiwa anakiwasha vizuri kwenye soka kuwa alimwambia Dogo lake akidaka penalty yake anampa robotatu ya utajiri wake na mke wake.
Ikatokea mdogo wake akaudaka mkwaju wake wa penalty na kufia golini kwa shuti lilomzidi uwezo.😀😀😀😀
Aaaah MILLENIAl walitupanga kwa kweli asee.