Tunatambua changamoto zenu mbalimbali lakini pengine hamna pa kuzisemea
Msiwe introvert sana.. Kuna tiba kwenye kuongea .. Ongeeni
Story za kawaida
Yatokanayo
Yasemwayo
Ya afya ya mwili
Ya afya...
Hakuna aliye dhaifu sote ni wenye nguvu na washindi.Wengi wanakukatisha tamaa kwenye safar yetu ya upambanaj.
usitege sikio wala kuwasikiliza wapuzilie mbali maana ukiwasikiliza utajikuta...
Wakubwa kwema?
Wakati flani kwenye makuzi yangu kuna Brother mmoja alinidanganyaga kuwa LEGEND Roberto Carlos wakati wake akiwa anakiwasha vizuri kwenye soka kuwa alimwambia Dogo lake akidaka...
Usingizi umekata, muda wa kulala bado, unaenjoy maisha, mawazo, furaha au ni sababu gani inafanya uwe hujalala mpaka sasa hivi?
Tupige story kidogo:
Rangi gani ya ngozi inakuvutia kwa mpenzi...
Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "ChitChat".
Ni tumaini langu wote ni wazima.
Huu uzi yawezekana ukawa mrefu kuusoma, ila naamini kuna mtu utamsaidia sana endapo atausoma...
Je jina unalotumia JamiiForums limetokana na nini? Why uliamua kujiita hivyo?
Binafsi jina nalotumia ni taaluma yangu na kwa sababu naipenda Tanzania likaunga na uzalendo.....
Wakuu, kuna ile ukiwa na pesa ni kama kiwango cha nidhamu ya matumizi huwa kinapotea au kushuka unakuwa unatumia tu.
Na baada ya kubaki na kiwango kidogo nidhamu inarudi wakati unasubiri michongo...
Kuna baadhi yetu hatukupata bahati ya kufahamu lugha za asili, na hatujui lugha za nje tunajua kiswahili pekee kwa sababu wazazi hawakuwa wakizutumia kwa sababu walikuwa wa kutoka kabila tofauti...
Ukiingia kwenye jukwaa la JF Garage katika JamiiForums, utadhani wauza magari wa kule wanaishi kwenye ulimwengu wa njozi au uchumi wa nchi ya kufikirika.
Malalamiko kuhusu bei zisizo na uhalisia...
Kama kuna mtu atatokea hapa na kubisha basi huyo ndie rafiki mwenyewe.. Na baadhi ni marafiki zetu hapa JF
Unahitaji usaidizi wa kitu kwa mfano ununuzi wa kiwanja, nyumba, gari mtambo nknk
Sasa...
Namaste everybody
Heshima zenu wakuu.
Muziki wa kitambo miaka hio ya wahenga kabla sisi Gen Z hatuzaliwa ulikuwa mzuri sana ukilinganisha na ya sasa.
Makelele merngi sana siku hizi
Vyombo vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.