Seleina Tikili
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,407
- 2,729
Hakuna aliye dhaifu sote ni wenye nguvu na washindi.Wengi wanakukatisha tamaa kwenye safar yetu ya upambanaj.
usitege sikio wala kuwasikiliza wapuzilie mbali maana ukiwasikiliza utajikuta umepoteza.
umuweke mungu mbele kwenye kila ufanyalo.usikate tamaa maana ww n shujaa usiyeshindwa.