acha tuu🤣🤣nikijiangalia mimi nacheka na kujihurumiaNo wonder the system keeps crashing 🤣
mnoo😆😆😁😁 Walah tutafika mbinguni tumechoka vibaya sana
Nimefarahi Kuna millennial mwenzangu nataka nimstiri anajikuta mtoto wa buku be mwacheUmefurahi ama unatucheka
Mimi namfanyia hisani hataki shauri yake mwenyeweKwa hiyo unaona kama unafanyia hisani 😁
You cant keep up with both lazima kuna side itakuwa dominant hasa hii ya modern
You're running iOS 26 and Windows 95 at the same time, no wonder when the system crushing,? True or False?ni huzuni
Mwache afe na stress zake wewe muunge mkonoHata mimi namuunga mkono
Tuendelee kukubaliana na hali tuu ila primary role yenu ya ulezi hakuna namna mtaachaNi huzuni 😁