Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,971
- 36,449
Usingizi umekata, muda wa kulala bado, unaenjoy maisha, mawazo, furaha au ni sababu gani inafanya uwe hujalala mpaka sasa hivi?
Tupige story kidogo:
Tupige story kidogo:
- Rangi gani ya ngozi inakuvutia kwa mpenzi? (mweupe, mweusi, maji ya kunde au wewe una vigezo vingine ambavyo siyo rangi ya mwili?)
- Ushawahi kulia baada ya kupewa penzi au kumliza mtoto wa mtu?
- Ni kitu gani hujawahi kukifanya ila unatamani kujaribu?
