JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna kijana alikua anataka kuoa akamwabia baba yake kaniposee msichana fulani babake akamwambia tafuta kwingine yule ni dadako ila mamako hajui usimwambie, Kijana akatafuta mwingine baba...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimecheka alivyomalizia na "Stupids"
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Hahahahaha wacha ni cheke miye mtoto wa Pozi,nicheke ni nenepe ni Konde nina Mke?ebwana niaje wa Zee wa ChiTChaT?dah!kitambo kidogo sija Post maujanja humu.Ok hapa nimeshiba Urojo mwenyewe na...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Hii ni kwa wana jf member tu tunawakaribisha wakati huu wa kuelekea valentine day kutoa booking yako ya keki nzuri utakayoipenda mwenyewe tunaifikisha mpka mwenzio alipo kwa 40,000 tu...hii ni...
0 Reactions
48 Replies
14K Views
Ndiyo hii unayoisoma sasa hivi...
0 Reactions
82 Replies
4K Views
hivi niambie ukiwa home panaboa au panaudhi au panavutia au panachosha au pakoje. Kwetu sisi vyote vinatokea kwa mida tofauti tofauti.
0 Reactions
29 Replies
3K Views
kila nikikumbuka vituko vya lodilofa huwa nacheka...kimojawapo ni hiki hapa...akiwa ndani ya kigari chake alisimamishwa na traffic wa kike...maongezi yalikuwa hivi.... TRAFFIC; Washa indicator...
1 Reactions
21 Replies
10K Views
jamani ee kuna threads nyingine nashindwa kuchangia kutokana kutokutambua jinsia zao mfano; kongosho huyu nimeambiwa ni genderles mimi niko puzzled na pia kabakana. Uyu sina detail hata...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
MGANGA ANAPATIKANA HAPA.-DR SHEKIBUYU KUTOKA TANGA, SASA ANAPATIKANA MIKOA YOTE. Tunatoa huduma zifuatazo....... Kuotesha busha haya yapo ya bei kama ifuatavyo... • Busha la...
1 Reactions
14 Replies
9K Views
Kulikuwa na muzaji asali alikuwa akisifu asali zake...Kuna jamaa akamuambia yani hakuna kitu kitama kuliko asali zako akasema ndio....Jamaa akamwambia na mwanamke je? Akasema wapi mwanamke atakuwa...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Unasikiliza dondoo za magazeti asubuhi unakutana na habari kama hizi.. - Serikali ya Tanzania imetangaza msaada wa paundi milioni hamsini kusaidia wahanga wa mafuriko huko Brazil. - Kampuni ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Samahani kwa kutokuonekana hapa kwa muda laptop yangu imegoma kufanya kazi nawashukuru wote 32 mlionitumia PM asanteni kwa kunipenda nami nawapenda pia,nawatakia wiki njema.
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Application Form To Be Filled For Contesting Tanzanian Elections ------------------------------------------------------- 1. Name of Candidate : __________________ 2. Present Address (i) Name of...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Mchezo wa 'kimama-mama...' Nikatokea kuzoeana na binti ambaye alipenda mi niwe baba na yeye awe mama kila mara tunapocheza mchezo huo... Sasa siku moja ilitokea wakati 'baba na mama'wanaenda...
0 Reactions
72 Replies
9K Views
CHADEMA watu wabaya sana..wamemshinikiza pinda awatishe madaktari na kupiga marufuku mikutano yao ktk ukumbi ambao walikuwa wameshaulipia
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Wanabodi, Naitaji msaada wenu jinsi ya kutengeneza Mbege nzuri.. Yoyote mwenye kujua naomba anielekeze jinsi maandalizi yake na vifaa gani vinavyotakiwa. Nipeni maujanja ya kutengeneza...
1 Reactions
92 Replies
16K Views
kiukweli mimi kama msichana nakutana na tongozo nyingi sana, ila hizi za jf daaaah nazikubali kweli hili ni jukwaa la great thinkers. watu wanajua kupanga mistari na vina bwana tongozo la page 3...
5 Reactions
71 Replies
5K Views
Your car is Japanese Your beer is German Your wine is Spanish Your Democracy is Greek Your Coffee is Columbian Your tea is Chinese Your watch is Swiss Your fashion is French Your shirt is...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari, Mi mwenzenu mara nyingi huwa napost vitu hapa JF nikiwa kazini. Mara nyingine unakuta naandika na e-mail za ofisi pembeni nime minimize hii screen. Sasa inatokea sana najisahau nikiwa...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
1. No thanks, I’m married. 2. Nope, no more booze for me! 3. Sorry, but you’re not really my type. 4. Steers? No thanks, I’m not hungry. 5. Good evening, Afande. Isn’t it lovely out tonight? 6...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…