JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hivi huyu mugabe kumdhihaki yesu kwamba amekufa na kufufuka zaidi yake yuko sawa kweli au uzee unamnyemelea? Kama kuzimia na kuzinduka ni sawa na kufa na kufufuka wewe ushawahi kufa na kufufuka...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna house boy mmoja alikuwa anaitwa madigo, kila father house akiweka wine yeye anakunywa alafu anaongeza maji, siku father house akaleta wine ambayo ukiongeza maji inaganda. Kama kawa madigo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
A man is flying in a hot air balloon and realizes he is lost. He reduces height and spots a man down below. He lowers the balloon further and shouts: "Excuse me, can you...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Once there was a millionaire, who collected live alligators. He kept them in the pool in back of his mansion. The millionaire also had a beautiful daughter who was single...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ilikuwa mwaka 1973,nikiwa sekondari ya serikali,kidato cha pili. Na dhahama hilo lililtokea nikiwa likizo nyumbani Korogwe,Tanga. Kipindi hicho mtoto kufaulu ililuwa jambo la ujiko sana..hata...
5 Reactions
48 Replies
5K Views
dawar gasaboy gidahababieck measkron endasak lamay balangdalalu katesh
0 Reactions
30 Replies
10K Views
Majuzi Waandishi wa Habari walimuuliza Mh Robert Mugabe.... "Mr President; When Are you Going to Say Goodbye to your People"? Naye akawauliza; "Where are they Going"???? .......
0 Reactions
2 Replies
1K Views
You can't really beat the police in Bongo!!! A man alone in his car was driving home in DAR at about 12.30 am and got to a police checkpoint. A Traffic policeman stopped him and asked for...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
jitume ukipewa kitu mtu mzima ww... unataka kila kitu pawe na bakora "nyuma"... onesha kama unaweza!! iko haja wakoloni warudi hapa nchini... naona bado kabisa! hopeless kweli nyie!..
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hii ilitokea Kwa Majirani zetu nchini Kenya ambao bado wanang'ang'ana kukijua kiswahili fasaha......... Mwenyekiti wa Kijiji akimkaribisha Mh Waziri kama mgeni Rasmi Mh Waziri, Kila tukikuita...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dada mmoja aliingia na paka wake ndani ya daladala huko Afrika Kusini huku akiwa amevalia kimini cha kufa mtu. Huyu paka shingoni alimvalisha skafu iliyoandikwa Enough akimaanisha jina la paka...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna mwalimu alikuwa anashangaa kukuta ugali kwenye masink ya chooni huku akiconclude kwamba wanaingia na sahani za msosi chooni, madent wakamjibu "anashangaa kuingia na sahani? Mbona midomo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ningependa tu kujua kwakuwa kitu kikioza(dead body)kinatoa funza, je hao funza wakioza wao wanatoa nini???
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanaume flani walikuwa wanatambiana kuhusu uwezo wao wa kuuchuna, wa kwanza akasema kuna siku alimpigia simu mkewe akapokea lakini hakusema hallo kwa hiyo nae akauchuna hakukata simu wala kuongea...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kwa mfano washkji zangu cku hizi akiwa na mdada atakuambia...niko na "MFUGO" au utasikia mwanangu kuna MIFUGO imepita hapa... hebu nambieni nyote wabatizaji na wabatizwaji,nn chanzo cha majina...
0 Reactions
62 Replies
4K Views
mambo ya mitandano nimemtongoza bwana wangu bila kujua alibadilisha jina na kuweka picha fake tulipo meet ndio namuona bwana wangu live
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Hii nimekutana nayo mtaani kwetu jana jioni wakati narudi toka kibaruani. Jamaa alikuwa anawasimulia wenzake namna paka alivyomtamu na namna anavyoandaliwa............... "yaani yule unachemsha...
0 Reactions
60 Replies
5K Views
Watanzania ni wamoja lakini ni rahisi kumgundua kila mtu na kabila lake kwa kuzingatia lafudhi na matamshi ktk lugha yetu ya kiswahili: Wahaya-mara nyingi utasikia wakichanganya kiswahili na...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
...iwe inakaa kwenye plate number ya gari lake, na maeneo mengine yamhusuyo au munaona na kusemaje?
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mkuu, Kuna maiti ya mzee aliyookotwa kijijini kwetu ikiwa na majeraha ya kukatwa katwa. Ni kijiji kidogo cha watu kama 400 kwa hiyo watu wanajuana wote. Walipelekwa polisi wapelelezi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…