Madigooooooo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madigooooooo!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jonogomero, Feb 29, 2012.

 1. Jonogomero

  Jonogomero Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna house boy mmoja alikuwa anaitwa madigo, kila father house akiweka wine yeye anakunywa alafu anaongeza maji, siku father house akaleta wine ambayo ukiongeza maji inaganda. Kama kawa madigo akanywa akaweka maji kitu kikaganda. Father kouse aliporudi madigo alikuwa jikon, sebulen kulikuwa na housegirl na mother house.
  Father; madigooo
  Madigo; naaaam baba
  Father; nani kanywa wine yamgu na kuweka maji.
  Madigo hakijibu kitu, baba kila akiita jina madigo anaitika lakini akiulizwa anakausha. Father akamfuata madigo jikon, akamuuliza mbona nkikuita unaitika lakini nikikuuliza hujibu. Madigo akajibu, baba ujue mtu ukiwa jikon jina unasikia lakini maneno ya mbele husikii. Dingi akasema Mi siamini haya nenda seblen kaniite alafu uulize kitu nione kama vtoweza kusikia. Madigo akaenda sebleni
  Madigo; babaaaa
  Father, naaaaam madigo
  Madigo; kwa nini ulikuwa unalala chumbani kwa housgirl wakat mama hayupo?
  Father; kimyaaaa.
  Baba kwa aibu akarudi sebulen akaropoka et nimeamini maneno yako madigo ukiwa jikon jina unasikia lakini maneno ya mbele kazi sana kusikia. Noumer
   
 2. S

  Senator p JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Madigo noma
   
 3. serio

  serio JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  hahahaa, the hunter became the hunted
   
 4. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,129
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Nzuri sana. Nimeipenda!
   
 5. w

  wikolo JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 801
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  umenifurahisha mno. Hiyo iko juu kweli kwamba ukiwa jikoni jina unasikia ila maneno ya mbele hayasikiki!
   
 6. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,244
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  madigo nomaaaa
   
 7. Jonogomero

  Jonogomero Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndio majiko ya kisasa kaka unasikia jina tu lakini maelezo hakunaga
   
Loading...