nimemtongoza bwana wangu bila kujua

jane_000

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
547
43
mambo ya mitandano nimemtongoza bwana wangu bila kujua alibadilisha jina na kuweka picha fake tulipo meet ndio namuona bwana wangu live
 
Dah kati ya vitu nimekataa kuelewa ni mwanamke kumtongoza mwanaume loh,pamoja na beijing na mengne mi sielewi hata,halafu hapa nazidi kushangaa eti mdada anatongoza kwenye internet na wanapanga kabisaaa kukutana,Lord have mercy ha ha!
 
dah,napenda mademu ka wew ,nakupm unitongoze nione mistari yako mdada
 
mambo ya mitandano nimemtongoza bwana wangu bila kujua alibadilisha jina na kuweka picha fake tulipo meet ndio namuona bwana wangu live
Mi bana sijui nikoje, kila siku naufananisha mwandiko wako na wa mpoleeee!
 
Back
Top Bottom