Mbona midomo tunaingia nayo chooni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbona midomo tunaingia nayo chooni?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by tindikalikali, Feb 29, 2012.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Kuna mwalimu alikuwa anashangaa kukuta ugali kwenye masink ya chooni huku akiconclude kwamba wanaingia na sahani za msosi chooni, madent wakamjibu "anashangaa kuingia na sahani? Mbona midomo 2naingia nayo chooni na hashangai?"
   
 2. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,307
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Mkuu, uko vizuri.
   
 3. mamLook

  mamLook Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mbona kinacholiwa na midomo iyo kinaishia ukoUko chooni?

  Du, am out !
   
 4. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  hiyo ni kweli unatisha mkubwa
   
Loading...