Where Are They Going????-Mugabe

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,142
13,216
Majuzi Waandishi wa Habari walimuuliza Mh Robert Mugabe....

"Mr President; When Are you Going to Say Goodbye to your People"?

Naye akawauliza; "Where are they Going"???? .......
 
Inasemekana Mugabe ndiye Rais anayeogopwa na waandishi wa habari Afrika/duniani kwa majibu ya smart/yasiyotarajiwa/ya kunya kwa maswali mengi anayoulizwa.....nitaendelea kuwaletea hapa......
 
Majuzi Waandishi wa Habari walimuuliza Mh Robert Mugabe....

"Mr President; When Are you Going to Say Goodbye to your People"?

Naye akawauliza; "Where are they Going"???? .......
Staili hii ya Mugabe ya kutoa majibu ya haraka yenye kuchunguza swali lililoulizwa ni staili maarufu sana duniani yenye kufanya watu washangae na kutabasamu kwa wakati mmoja.Ni watu wachache wenye kipaji hicho kinachoitwa witicism. So Mgabe inthis instance was very witty.
I liked the way he responded.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom