....Mapendekezo yangu kwa nembo mpya ya makamu wa rais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

....Mapendekezo yangu kwa nembo mpya ya makamu wa rais

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Consigliere, Feb 28, 2012.

 1. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #1
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,026
  Likes Received: 7,419
  Trophy Points: 280
  scissors.png

  ...iwe inakaa kwenye plate number ya gari lake, na maeneo mengine yamhusuyo au munaona na kusemaje?
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahaaaaa mkuu wa kuweka Mawe ya msingi....
   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Ungeongezea na kautepe flani hivi kanapita katikati ya mkasi .
  Nembo ingependeza sana.
   
 4. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #4
  Feb 28, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,026
  Likes Received: 7,419
  Trophy Points: 280
  unamaanisha hivi....?
  mkasi.jpg
   
 5. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
 6. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #6
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Sasa kumbe ! ?
  Unauliza vumbi stoo ?
  Hapo hiyo nembo umeuza !
  Yaani subiria tu siku chache zijazo wa news wanakutafuta mfikenao bei , mwanzoni waringieringie kuwasikiliza. Ili ipande bei .
  u m e u z a !
   
 7. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,026
  Likes Received: 7,419
  Trophy Points: 280
  nasikia baada ya gharama za ujenze kuwa juu, kuna hatari akawa idle kwa kukosa majengo ya kuzindua, nasikia kuna mpango wa kumuongezea kwenye JD yake shughuli ya kuzima mishumaa kwenye besidei..
   
 8. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,026
  Likes Received: 7,419
  Trophy Points: 280
  Huenda hata mawaziri na wabunge humtumia kwenye kuzindua mishahara yao, labda na uzinduzi wa posho angehitajika.
   
 9. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #9
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Inafaa kwa sasa.

  Lakini in future iwe ile ya OMERTA.
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  msisahau na jiwe la msingi
  yaani unachoma mafuta kwenda kukata utepe?
   
Loading...