majina ya vijiji vya vya hanang'

majina kama ya kisoviet vile,kama kule kwa putin.endelea kuyaorodhesha yamenifurahisha sana maeneo ya home japokua tumezaliwa kule tukakulia huku mijini,kuna balangda,gidagamoud,endamararie,qurus,ayalabe,endabash,naqwa,very interested.thanks kwa ubunifu.
 
hahahaa umenikumbusha miaka hiyoooo. Unapafahamu measkron, mogitu na mashamba ya ngano ya mulbadow?
 
Mmenikumbusha mbali enzi za ujana, mtu anatoka mbali unatua Motel Paw Paw Babati unakatisha Endasak, Dareeda, Tarafa ya Bashnet kijiji cha ...kwa Mzee mmoja akimiliki trecta kadhaa kwa jina la Mzee Bana Tarmo akijaaliwa kupata mabinti watupu wazuri, warembo na wenye tabia nzuri...yaani ni basi tuu ilikuwa haikuandikwa!....
 
kuna waret
setchet
gidagamond
mulbadaw
murjanda
gawal
basotu
gidagango
 
Basi ukitoka pale Karatu unafika Gongali unafika AYABUT unaingia Bassodawish unatermkia Barai. Toka Barai unaenda ENDABSH then ukatiza Ngaidadu mpaka Kansay unafika BARAKTA. Toka hapo unaenda mbele mpaka Gwandumehhi unavuka kale kamto Hahay unaingia DAUDI unaendelea mpaka Bargish Antsi unaingia MBULU pale kuna wakwe zangu wanaishi ENDAGIKOT na wajomba zake mke wangu wanaishi AY MAMI. Shemejii upo!
 
Hapo Bargish kuna na bestii zangu kibao tumepiga shule hapo Imboru,afu shopping ya xkul ilikuwa dukan pale Gehandu shop!
 
Mmechanganya mada mwenyewe anataja ya Hanan'g nyie mnataja majina yote ya Kimang'ati hata kama hayapo Hanang'
 
hapo katesh nilishafika....pana upepo na baridi kali sana...
 
Mwanangu umenigusa kinoma yani,unakumbuka timu ya mulbadow?kunajamaa mmoja alikua anaitwa abdalah ndio alikua manager wa timu na muhasibu wa hayo mashamba,sasa mimi nikawa mtunza jezi siku wanakuja kupiga game arusha mjini,jamaa walikua wanapiga jezi za mbele hata simba na yanga hawakuwa na ujanja wakupiga hizo vitu.nimefurahishwa sana watu kibao wamecomment majina ya vijiji kibao,yanavutia kwakweli.thanks man n gday.
 
hiyo motel papa kipindi ndio kwanza mpya nilikaa hapo kama wiki,niliend kibiashara mwaka 95,ilikua poa sana nyimbo za kina pepekale,boziboziana,aurus mabele na nyingine za kikongo,lazima uzuge na soda au bia kwani baa kali yenye video ilikua yenyewe,hapakua na tv,kumbuka,asante mwana pamoja sana.
 
Back
Top Bottom