kina dada haya majina mnayobatizwa,nini chanzo?

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
kwa mfano washkji zangu cku hizi akiwa na mdada atakuambia...niko na "MFUGO"
au utasikia mwanangu kuna MIFUGO imepita hapa...
hebu nambieni nyote wabatizaji na wabatizwaji,nn chanzo cha majina haya...?
mfano utakupa max zaidi.
 
Dah! Mfugo tena....wengine wanawaita VITATASIO.
 
aise...hilo jipya zaidi...
hii aina ya kiumbe ina majina mengi.
 
Mnatuita majina mengi because mnatuhitaji sana.. Mnazunguuuka but thats the reality.
 
Mnatuita majina mengi because mnatuhitaji sana.. Mnazunguuuka but thats the reality.

Huwa najaribu kufikiri km mkianza mgomo...mkawa mkitongozwa hamkubali kabisaaaa hata kwa mwaka...hali itakuwaje??
 
mie huwaita wanyama
na nimewagawa kwa makundi haya.

Farasi- wanaovaa high heels zinatoa sauti kwa kwa kwa

pundamilia - wanaopendeza kwa macho

twiga- wale wenye madaha

swala- wasumbufu sana kuwala, unatumia nguvu nyingi. Njoo kesho, njoo kesho ila mwishoni huliwa tu

nyumbu- hawana akili, unawala wakati unaotaka mwenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom