Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
Dada mmoja aliingia na paka wake ndani ya daladala huko Afrika Kusini huku akiwa amevalia kimini cha kufa mtu. Huyu paka shingoni alimvalisha skafu iliyoandikwa Enough akimaanisha jina la paka huyo. Kwa bahati mbaya huyu paka akamponyoka na kumpa kazi ya ziada kumtafuta nadani ya daladala hilo. Kwa kuwa alikuwa amevalia nguo fupi, ilikuwa kila akifika kwenye kiti anainama kuchungulia ikiwa atamuona ppaka wake na kuwauliza watu Have you seen Enough????....akimaanisha anaulizia paka wake.......
....huku mapaka shume wengine wakitoa mimacho wakidhani dada yuko kwenye tangazo la chupi/saburi lake.............
....huku mapaka shume wengine wakitoa mimacho wakidhani dada yuko kwenye tangazo la chupi/saburi lake.............