Tunashukuru kwa Kunya Kwako........

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,142
13,216
Hii ilitokea Kwa Majirani zetu nchini Kenya ambao bado wanang'ang'ana kukijua kiswahili fasaha.........

Mwenyekiti wa Kijiji akimkaribisha Mh Waziri kama mgeni Rasmi

Mh Waziri, Kila tukikuita umekuwa ukiharisha (ukiahirisha), lakini leo umekunya (umekuja) na tunakushukuru kwa kunya kwako hapa kwetu leo.......

Karibu sana....

 
Aidha ukienda kwa WENYE NACHO Kenya utasikia...Najivunia kuwa Mkenya..

Ukienda kwa hohehahe utasikia....Najihurumia kuwa Mkenya...
 
Back
Top Bottom