JF Garden (Bustani ya Jei Efu)........ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF Garden (Bustani ya Jei Efu)........

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by TANMO, Sep 21, 2012.

 1. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,912
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 160
  Hizi Ndumu Bana!

  Eti nilikuwa ninaimajini kwamba Jei Efu imegeuka Kabustani halafu wana Jamii wamegeuka viumbe tofauti tofauti.

  Kuna watu nimewaimajini eti wamekuwa Viwavi Jeshi, Vinyonga, Sungura, Mchwa, Kunguru n.k

  Kuna huyu Mbaba nilimuimajini kama Kobe aisee, simtaji..

  Kuna huyu dada aliyetulamba vibuti akaenda kwa yule mshamba mshamba jirani yake, yeye nime muimajini kama Kipepeo, maana ndiyo za vipepeo kuruka kutoka sehemu moja kwenda nyingine.

  Nanihii, na misifa yake yote eti nimemuimajini kwamba ni Komba, i donti noo wai kwa kweli.

  Halafu kale kabrazameni kalikotunyang'anya yule Dada nimekaimajini kama fuko, yaani kanafukua fukua mpaka kanaharibia wenzake pozi.

  Mzee nanihii Bana naye nilimfikiria kama wale wadudu wanaotoa miiba, labda sababu ya unoko wake kwa vibinti vyake humu.

  Halafu kale ka'mke ka yule Brazameni Mapua nimeka'imajini kama Mbu, sijui ni kadogo kama mbu nako ni kadogo na kasumbufu kama mbu?

  Huyu nanihii sasa ndiyo ameniacha mdomo wazi, si nimemfikiria kama Kinyonga Bana, labda kwa sababu anawezaga kujibadilisha any time. Kuna wakati anajiita mara mzungu, mara mchina, mara Msela, mara Manzi..

  Dada yetu Mod nikamfikiria kama Twiga, manake naye sam taimz anakuwaga na mapozi kweli. Eti ooh, natoa zawadi ya laiki wa atakayenifurahisha.

  Mshikaji wangu nanihii si nikamu'imajini kama Sisimizi, labda kwa sababu daily wenye nguvu wanampokonya Manzi.
  Sista duu Mibanghe nikamuimajini kama Nguchiro, sijui kwa nini Yarabi.

  Mamdogo Mashambani nikamuimajini kama Farasi, manake mishe mishe zake ni balaa. Eti siku hizi anauza dawa za kienyeji!
  Kuna vijamaa nilivifikiria kama vindege vidogo vidogo, labda kwa sababu kila siku viko bize kutongoza huku mara kule.

  Balaa ilikuwa Mshkaji wangu Baba Paroko, yeye nimemuimajini kama Tembo, halafu kumbe ulikuwa kifungoni arifu.. Pole!

  Kuna visungura kadhaa niliviona pia kwenye Imajinesheni zangu, eti hadi hundred na kale kamkoa kapya ka kusini nimewafikiria kama Sungura, dizaini ni vijanja janja sana hivi vijamaa.

  Kuna baadhi pia niliwafikiria kama Upepo, manake wakiamuaga huwa wanaweza kubadilisha kweli hali ya hewa humu Jamvini.

  Kuna Sista Nanihii (za kupotea Bibie?) Yeye nilimuimajini kama Chui, manake ukimzingua huwa hakawii kukurukia shingoni.

  Mimi mwenyewe nimejiimajini kama...

  Hebu ngojeni, narudi.

  Mapendo.
  TANMO
   
 2. Lilian Masilago

  Lilian Masilago Verified User

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 246
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mhhh. Hebu nielezee maana ya Ndumu.....
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaaaaa TANMO huu utani wa ngumi aisee....na ntaendelea kufukua sio kwa Preta tu hata Bishanga muulize anajua maumivu yake!
  Hebu lala sasa uone utaota nini tofauti na ganja
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Bange...!
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,912
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 160
  Mbona unajihami Arifu?
  Hivi ulishaenda kumjulia hali Ndugu yetu Mtu Chake?
  Manake nusura nafsi iache mwili kwa maumiu ya kutoswa,
   
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaa mtu chake kapoteza memori ya Preta yan hana kumbukumbu km alishawahi kuwa na mahusiano na huyo binti
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  nimesoma mpaka mstari huu.....ngoja nikaendelee......
   
 8. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,912
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 160
  Huo mstari unasemaje?
  Hebu nisomee kwa sauti nisikie..
   
 9. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,912
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 160
  Halafu nasikia hata wewe ulishamwagwa, kuna Kada Flani hivi wa Magamba ndo nasikia anamiliki mzigo sa'ivi..
   
 10. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Mimi nimajinije mkuu? napenda mamiss na vitoto vya shule. mia
   
 11. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,317
  Likes Received: 2,603
  Trophy Points: 280
  nimekaa najiuliza mtunza bustani ni nani....nikishamjua huyo nataka anichumie waridi zuri
   
 12. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  TANMO unaniona mimi wa kumwagwa? Tena na Preta ?
  Lol haiwezi kutokea yule ni mama wa nyumbani na ninapokuwa nimekosa kwa Remmy na BADILI TABIA huwa naenda zangu kujituliza kwake
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaa watu8 wasiliana na Katavu ndiye mtunza bustani na anajua maua yanayochanua na kusinyaa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  figganigga utafungwa aisee
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #15
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Heheheeeeeeeeeee
   
 16. data

  data JF-Expert Member

  #16
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,733
  Likes Received: 6,507
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #17
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  malaria sugu na Faiza foxy bange zako zimewaweka katika kundi gani?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  na wewe nimekuimajini kama mzee wa kuimajini.........
   
 19. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #19
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,912
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 160
  Mkuu yaani wewe nilikui'majini hivi:
  Yaani wewe na mwenzako Mkoa Mpya Jirani na Rukwa..

   
 20. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #20
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,912
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 160
  Shikamoo..
  Upo? Vidumu vyako na Ndoo zako wote hawajambo?
  Manake unasifika humu kwa kubeba vidumu hadi Magudulia na Matanki.......
  Eti Mwanamke Kidumu, hata ndoo ikianguka upate maji ya kujinawisha miguu.......Tulizana......
   
Loading...