Ndizi, chungwa na Pasheni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndizi, chungwa na Pasheni

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by pilau, Sep 24, 2012.

 1. p

  pilau JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ndizi akamuuliza chungwa ni kwa nini ukiliwa lazima unyonywe? Chungwa akasema nisiponyonywa sisikii utamu kabisaaaa, wewe je? ndizi akajibu akasema mimi nisipovuliwa nguo sipati raha, Passion akadakia mwenzenu nisipotiwa kidole na kikazungushwa kwa ndani sipati utamu kabisa!
   
 2. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  road works ahead...slow down!
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Dafu naye akasema akiliwa asipochokolewa hasikii raha!
   
 4. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Embe nae akadakia "mim bila kunyonywa kokwa wala sifurahii"
   
 5. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mzee wa busara akadakia japo bangi ni bangi lakini ya ARUMERU imezipita zote
   
Loading...