ivi mtu ukiwa na gari ni tajiri? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ivi mtu ukiwa na gari ni tajiri?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mkonowapaka, Jul 16, 2012.

 1. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kwa haraka haraka ukitajiwa fulani kanunua gari...haijalish linasoma T 101 AAA watu mind zinaclik jamaa sasa anazo...hata waliojenga nyumba zao za mamilioni ukienda ww na duet yako ya mkopo wa riba fift pasent unaonekana wa maana...what's so special with gari..dada zetu ndo usiseme..umwambie una kiwanja masak
  Na mwingine ana corola limited;utaonekana huna ishu...ni mtazamo wangu wa muda mrefu..
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  gari ni hirizi la kijepi kwa kinadada.......
  :focus:........sijui ni kwa nini watu wanakuthamini sana ukiwa na gari kuliko nyumba.........
   
 3. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Inategema masikini hawezi kuendesha Lexus LX570.
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Huu
  Mjadala
  Naomba
  Nisichangie au sio Preta
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  usichangie kabisa.....twenzetu.........
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Poti Gari ndio albadili ya mabinti, bila ya kuwa na mkweche wale watu watakupa shida labda uwe muhongaji mzuri., wewe jenga nyumba zako hata 100 lakini mwenye gari hapa mujini ndio mpango mzima.
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,224
  Trophy Points: 280
  acha nipite mieeeeee
   
 8. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Dhana yangu na wengine kama mimi ni kwamba ukiwa na gari ni lazima uwe na pesa. Nikimaanisha kwamba siyo rahisi kumiliki gari na ukawa huna kipato kabisa- na hasa kwa ajili ya kui-run hiyo gari- vinginevyo itakushinda. Lakini, inawezekana kabisa mtu kumiliki nyumba na asiwe na pesa-hata kama ameijengea mwenyewe kwa pesa yake. Sababu ni kwamba, Nyumba haihitaji day to day (i.e. daily) running/maintenance expenses. Tofauti hizi labda ndiyo zinawafanya nyie wenye magari mdondokewe na ngekewa ya kupendwa na warembo wa "MUJINI". Lakini pia kwenye jamii ya kiafrika, Gari ni -STATUS SYMBOL.
   
 9. j

  jeneneke JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 760
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Hata wanaume wanashobokea wanawake wenye magari me mfano hai
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  baelezee bidada.....wanataka wasuuzie.......hawajui kama ni mwanaume mwenzao kanunua au vipi......
   
 11. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Ni utoto na fikra changa kwenye halmashauri za ubongo wao.
   
 12. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kwa maisha ya bongo ukiwa na gari lazima uwe na kipato cha kueleweka. Lakini kawaida gari haimaanishi kuwa ni tajiri, gari ni sawa na baiskeli inakuwezesha kukutoa from A to B period.

  Lakini huu ushamba wa kushobokea gari ni kwasababu unatembea na gari watu wanakuona na gari lakini sio nyumba.
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Sizinga kile kilogo cha Premium Member naona wamekimuvuzisha, nadhani hujatuma mzigo kwa M Pesa, halahala Arifu tuma mzigo huo JF.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,393
  Trophy Points: 280
  Utajiri ni nyumba mtu asikudanganye!mwenye nyumba 1 dar ana utajiri kuliko ma bus ya scandnavia 100.leo yale ma bus yapo wapi lakini plot na ofisi zipo
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  utajiri ni nini?
   
 16. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ni sawa na mtu akiona mwanamke mja mzito barabarani, anajua moja kwa moja sio tasa. Hata kama una watoto kumi nyumbani ukitembea barabarani nani anajua unazaa au huzai? hahahaha
   
 17. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  wewe endelea kujidanganya tu, halafu tongoza demu mkali umletee hadithi na tamthilia hizi za kusadikika halafu utayapata majibu yake. watu mtaani wanachukuwa madada za watu kwa mashangingi STJ na STK halafu wewe bado hujui kama gari ndio albadili ya Kijapan kwa mabinti? nyinyi ndio wale wale eti mapenzi siyo pesa!!.......
   
 18. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ndio maana kila mkipigiwa simu mnasema mpo sheli eeh!
   
 19. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,125
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  Mwaka huu lazima ninunue Bajaji ili nami niwakoge!.
   
 20. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  au nipigie bdae niko nadrive....
   
Loading...