Wadada , Wamama mara ya mwisho lini....?

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
kawa.jpg

Kutumia kawa kufunikia chakula......!!!
Naona siku hizi mambo ya hot ports yametawala.....!!
 
Ujumbe ndio nilioupenda.
Natuma Salamu kwa Wale Wote Wanaotunyatia kwenye Mahusiano yetu.
Nimempata kwa tabu,
Enzi Hzo Kaajiriwa kwenye shamba letu la Miwa,Sitimbi.
Nimemleta mjini kakutana na Maji ya Bomba sasa Mnaanza kumsarandia.
Shikeni zenu Adwabu.
Lol!!
(Hii Hadithi Nilikuwa Naipendaga Sama)
 
Si mchezo!!malavidavi kuanzia mezani!!
Ukienda bedroom nako ndio usiseme!!Bonge la ujumbe kwenye mashuka!!!
Siku hizi mavitu ya kizungu yametawala!!Mara hotpots,maduvee,nk
 
marejesho mambo! me mzima kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Si mchezo!!malavidavi kuanzia mezani!!
Ukienda bedroom nako ndio usiseme!!Bonge la ujumbe kwenye mashuka!!!
Siku hizi mavitu ya kizungu yametawala!!Mara hotpots,maduvee,nk

wal si masikhara!ujumbe ulikuwepo mpaka kwenye kanga,siku hizi eti nyt dress ah!
 
Ujumbe ndio nilioupenda.
Natuma Salamu kwa Wale Wote Wanaotunyatia kwenye Mahusiano yetu.
Nimempata kwa tabu,
Enzi Hzo Kaajiriwa kwenye shamba letu la Miwa,Sitimbi.
Nimemleta mjini kakutana na Maji ya Bomba sasa Mnaanza kumsarandia.
Shikeni zenu Adwabu.
Lol!!
(Hii Hadithi Nilikuwa Naipendaga Sama)

Hahaha mipasho ya ukweli...!!
 
Si mchezo!!malavidavi kuanzia mezani!!
Ukienda bedroom nako ndio usiseme!!Bonge la ujumbe kwenye mashuka!!!
Siku hizi mavitu ya kizungu yametawala!!Mara hotpots,maduvee,nk

Zinaitwa enzi za mapendo daima......!!
 
Siku hizi hata wauza kawa wamepungua, hata wale walokuwa wanakaa vibarazani kujitengenezea wenyewe siwaoni pia!
 
Zamani hata muda wakurudi nyumbani mume ulikuwa unajulikana, ila sikuhizi unaweza kufunika msosi saa mbili, mume akarudi saa 5 usiku hata chakula kitakuwa kimepoa. Ndio maana mama zetu wanatumia hotpot kwakwenda mbele.
 
duh siku hizi uzungu mtupu, mtu anakuletea maua khaa dk kumi haipiti yameshanyauka. Kuigiza kwiingi mpaka kero
 
Zamani hata muda wakurudi nyumbani mume ulikuwa unajulikana, ila sikuhizi unaweza kufunika msosi saa mbili, mume akarudi saa 5 usiku hata chakula kitakuwa kimepoa. Ndio maana mama zetu wanatumia hotpot kwakwenda mbele.

Hahahaha tena anarudi CHICHA BOVUUUUUUUUU...............!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom