Lunch aliyo andaa shemeji yenu leo........ karibuni tujumuike

Autorun

JF-Expert Member
Mar 21, 2008
557
116
Ameniambia kinaitwa chikanda.........
 
Attachments

  • photo.jpg
    photo.jpg
    17.2 KB · Views: 62
mkuu mbona naona kama kashata...gahawa sioni, na hiyo plate ndio toleo jipyaa la kichina ?? mwambie atuandalie makaron bana na juice ya maboga na biringanya.
 
mkuu mbona naona kama kashata...gahawa sioni, na hiyo plate ndio toleo jipyaa la kichina ?? mwambie atuandalie makaron bana na juice ya maboga na biringanya.

Mmmmmmmm mwaka huu ninalo sio kashata ipo kama nyama likini sio nyama
 
hiyo kitu mbona kama inafaa kwa dessert...inawezaje kuwa ndio mlo mkuu?
 
mkuu unakata bure.... lakini nasikia mnaheshimiana sana huko manake kila mmoja ni mkali anaweza kumgeuza mwenzake nungunungu... au noah, kama mlivyomjaribu Mizengo bado kidogo awe mamba...

Ha ha ha haaaah!! Acha hizo wewe, niambie kwenu ni wapi......
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom