KIPI ulianza KUJUA?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Maishani mwako,kitendo kipi ulianza kujua? Kuimba/kusoma/kuhesabu/kuendesha baiskeli/kuchunga wanyama/ kufanya mapenzi/kucheza mpira/kucheza kibaba-baba au kimama-mama au kipi?
 
Maishani mwako,kitendo kipi ulianza kujua? Kuimba/kusoma/kuhesabu/kuendesha baiskeli/kuchunga wanyama/ kufanya mapenzi/kucheza mpira/kucheza kibaba-baba au kimama-mama au kipi?

watu wote ulimwenguni kitu cha kwanza kabisa walianza kwa KULIA halafu KUPUMUA kukafuata...hayo mengine sio ya kwanza maishani unless uwe umeshushwa kutoka kwa Sir God kama mana..
 
Back
Top Bottom