Kali ya mchaga:wet zipo makabila mengine bwana hii imenichekesha sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kali ya mchaga:wet zipo makabila mengine bwana hii imenichekesha sana

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Nivea, Sep 24, 2012.

 1. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,446
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Nimecheka sana jana
  ndani yameli watu wa makabila na uraia tofauti walikuwa na mizigo,meli ikazidiwa uzito ikabidi kila abiria apunguze mzigo,
  mzungu akatupa computer akasema 'kwetu zipo tele'
  mchina akatupa box la simu akasema 'kwetu zipo tele'
  mmasai akatupa shanga akasema hizi zipo kibao kwetu
  mhindi akatupa box la tambuu
  mchaga akabaki anahaha atupe ninikila kitu chake anakionea uchungu ghafla akamtumbukiza mmasai akasema yesu na maria hawa wapo tele arusha

  wewe ungetupa nini ndugu yangu ?????????
   
 2. S

  Starn JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  demu wangu
   
 3. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,905
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Omba MUNGU asijue jina unaotumia humu! Akijua ulichoandika hapa, utalazwa mzungu wa pili kwako hadi siku ya Eid (kumbuka mwana mkaidi hafaidi hadi siku ya Eid)
   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,397
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  kama vipi unawatosa tu hao Wadosi...si wamejaa kibao tu location za k'koo, upanga ....
   
 5. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,446
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mentor samahani sana najua umenilike kimya kimya mbontafo clemeeeeeeeeeeeeee
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 17,859
  Likes Received: 6,351
  Trophy Points: 280
  Hahaha tsicha sana mbe...
   
 7. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,446
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  aika monomao Mentor
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #8
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  shimbonyi sha kida romaaa.
   
Loading...