Vichaa kuandamana hadi magogoni kupinga kuingiliwa kazini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vichaa kuandamana hadi magogoni kupinga kuingiliwa kazini

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by aduwilly, Sep 22, 2012.

 1. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Jumuiya ya Vichaa Tanzania (JUVITA) imetishia kuitisha maandamano ya vichaa nchi nzima kupinga kazi yao ya kuokota makopo kuingiliwa na watu wenye akili timamu. Tukio hili limejitokeza baada ya mamia ya makundi ya watu wenye akili timamu kuanza kuokota chupa za maji safi pamoja na makorokoro mengine na kwenda kuyauza ili kujipatia chochote kitu.

  JUVITA wanaamini watu hao (waokota makopo) wamenukuu vibaya kauli ya mkazi wa magogoni aliposema kuwa atatoa ajira milioni moja kila mwaka, hivyo wamedhamiria kuandamana hadi magogoni ili kumuomba mkazi huyo kuitolea ufafanuzi kauli yake na hivyo kuinusuru kazi yao ya kuokota makopo kwani bila ya kuokota makopo ukichaa wao utapoteza maana.
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 22,361
  Likes Received: 7,868
  Trophy Points: 280
  Dah mi nasubiria hayo mabomu ya machozi
   
 3. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 6,905
  Likes Received: 1,060
  Trophy Points: 280
  Nawashauri bora wasiende tu maana wataishia kupigwa mabomu tu, hawajui kuwa hii ilikuwa moja ya ajira milioni moja alizotangaza mkulu
   
 4. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,240
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  JUVITA itakuwa ni chama kinachoongozwa na wana damu ya kichadema chadema cuz CDM ndio wapenda maandamano na wapenda kususa susa!
   
 5. D

  Deluxe mbey Member

  #5
  Sep 23, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cdm wameinglia wap tena apo xas
   
 6. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,253
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  akh chadema tena?!!!! ngoja nirudi zangu jukwaa la sports
   
 7. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,140
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Samahan lakin ulifia wapi mkuu ?

  Near by Ileje Mbeya.
   
 8. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,764
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Siasa hadi huku mkuu?
   
 9. Salathiel m.

  Salathiel m. JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  analeta siasa apa, uyu nae ni chizi lazma anaona tumetoa sri kua wataandamana adi magogoni
   
 10. amu

  amu JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 7,966
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  dah like imekataa
  sana bt i like your comment
   
Loading...