Wa rchuga wing mpooooo??? Hebu jibuni tuhuma hii kuhusu nywaji tajwa hapo juu. Inasemekana ukilibugia kinywa kinanuka kama tundu la choo cha shimo kilichojaa nyesi. Inasemekana kinanywewa na...
Nimelog in JF nakutana na notification yangu inasomeka kuwa nimepata LIKE 22,nikashangaa imekuwaje kuja kutazama zote zimetoka kwa Ciello 20 na Madame B 2.Hapa najihisi kuchanganyikiwa maana...
Wandugu wa Chitchat kesho navuka border kwenda nchi jirani ya Rwanda. Nitakuwepo jijini Kigali kwa siku 3.. Wale wadau mliopo Rwanda hebu 2ambizane. Kama itawezekana basi tuonane. Elizabeth...
Mama 1 alikuwa akimwambia mwanawe kuwa ww unanitukana mimi, kama ulinyonya ziwa hili lazima utaokota makopo!!
Mume wake akastuka akasema mke wangu huyo amenyonya ziwa tu ataokota makopo, je...
nilisafiri na pricsion kwenda
mwanza dada moja kakaa karibu yangu
anaonekana mstaarabu alikuwa kakaa dirishani
hakunisemesha baada ya muda nikawa naongea na
jamaa moja upande wa pili karibu...
Jamani nikiwa oficini leo nilipigiwa cm na bosi wa kitengo kingine akinijulisha kuwa kesho ntakuwa na massage ya dakika 90 yani lisaa limoja na nusu. Aliendelea kunitaka ni confirm kuwa nitaenda...
Sikuwa na Mchezo baada ya kumaliza shughuli zangu Kariakoo...niliamua kutembea kutoka K/koo mpaka kimara Mwisho....muda niliotumia ni Saa limoja na dakika 15....
...fitest for the fist...
Darasani kwetu alikuwepo mwanafunzi ambaye kwa kweli alikuwa mkali sana kwa masomo mengine yote isipokuwa Kemia. Ilipofika somo la Kemia yeye ndiyo ulikuwa muda wake wa kulala darasani. Siku moja...
Jamaa amelala had Asubuh..
Kuamka akaenda had bafun kupiga Mswak c akijiangalia kwny kioo
kujichek vzr c akajikuta amekufa
ikabd harud kulala thn await ndg zake waje wamzike
just smile
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.