Dear Wana JF

chardams

JF-Expert Member
May 1, 2012
2,439
1,734
Niwatakieni usiku mwema na ndoto njema. Muote mmepandishwa vyeo makazini kwengu, ongezeko la mshara likiwa 1000%
 
Nikushike sikio!
Siku nyingine ukileta msg ya kiivi , basi tuletee wa makundi yote.
Tuliomo humu sio wote tumeajiriwa!
Sawa ?
Jiulize sisi ambao ni wafanya biashara na tumeajiri tutapandishwa vyeo kivipi ? Na hata ikitokea , itakua kwa cheo gani ?
Aidha nani atakaethubutu kutulipa salary ? Refar sie ndo walipaji ?.
Usitutenge kijana eboooh !
 
Usiku mwema wakati wengine huku tulipo ni saa7mchana!
Niko mji mmoja na Natalia!
 
Hivi mimi ambaye ni Rais wa Nchi ya Wadogoli cheo sijui itapanda kwenda wapi sasa...!!!
 
Nikushike sikio!
Siku nyingine ukileta msg ya kiivi , basi tuletee wa makundi yote.
Tuliomo humu sio wote tumeajiriwa!
Sawa ?
Jiulize sisi ambao ni wafanya biashara na tumeajiri tutapandishwa vyeo kivipi ? Na hata ikitokea , itakua kwa cheo gani ?
Aidha nani atakaethubutu kutulipa salary ? Refar sie ndo walipaji ?.
Usitutenge kijana eboooh !
bamweleze!
 
Back
Top Bottom