Sijielewielewi hapa nilipo...!!!!


St. Paka Mweusi

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Messages
7,320
Points
2,000
St. Paka Mweusi

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2010
7,320 2,000
Nimelog in JF nakutana na notification yangu inasomeka kuwa nimepata LIKE 22,nikashangaa imekuwaje kuja kutazama zote zimetoka kwa Ciello 20 na Madame B 2.Hapa najihisi kuchanganyikiwa maana haijawahi kutokea hii,au kwa wenzangu ni jambo la kawaida kwenu kupokea Like za hawa warembo.Au inawezekana ni majibu ya yale niliyouliza kuhusu kuzeeka kwa wanaume..??Naomba msaada wa mawazo wakuu..
 
Last edited by a moderator:
St. Paka Mweusi

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Messages
7,320
Points
2,000
St. Paka Mweusi

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2010
7,320 2,000
Hahahahah nilikuwa nalipa madeni ya like ambayo ckuzitoa 4so long,c ww 2 niwewapa wengi 2
Nashukuru kwa kulipa madeni ila umenirusha roho mtakatifu miye,
wacha niwasubiri waje na wao watoe ushuhuda na wasipokuja
ujue hizo like zako nitazitafasiri....
 
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
10,351
Points
1,225
Judgement

Judgement

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
10,351 1,225
Yaani hapa hata sijielewi,wacha nikuume sikio basi,
mwenzio nikajua ndo nishapendwa hivyo...
Sasa Mtakatifu Pusy wa blaki mbona mi naona kifua huna?
Kama vile kipo likizo?
Yaani huna siri hivi?
Inawezekana Ciello kumiminia milaiki yote hiyo ikawa ndo kishatepeta kwako!
Na aidha akawa kafanya hivyo kisirisiri , ili nawe ufate steps hizohizo.
So far wewe kumtangaza ukiwa umepanda mnara wa kampuni ya simu, huoni yawezakua umemuumbua?
 
Last edited by a moderator:
St. Paka Mweusi

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Messages
7,320
Points
2,000
St. Paka Mweusi

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2010
7,320 2,000
Sasa Mtakatifu Pusy wa blaki mbona mi naona kifua huna?
Kama vile kipo likizo?
Yaani huna siri hivi?
Inawezekana Ciello kumiminia milaiki yote hiyo ikawa ndo kishatepeta kwako!
Na aidha akawa kafanya hivyo kisirisiri , ili nawe ufate steps hizohizo.
So far wewe kumtangaza ukiwa umepanda mnara wa kampuni ya simu, huoni yawezakua umemuumbua?


Dah,nilihisi hivyo mwanzo ila kutokana na kuchanganyikiwa nilijikuta sijielewielewi,hivi ukitaka kufuta mada uliyoianzisha unafuata hatua zipi kaka Hukumu..?
 

Forum statistics

Threads 1,284,761
Members 494,236
Posts 30,839,002
Top