Wa rchuga wing mpooooo??? Hebu jibuni tuhuma hii kuhusu nywaji tajwa hapo juu. Inasemekana ukilibugia kinywa kinanuka kama tundu la choo cha shimo kilichojaa nyesi. Inasemekana kinanywewa na masela tu. Inasemekana ni kigumu kumeza kama sifongo. Sababu ya kuleta uzi ni kwamba, mwanzoni kilikuwa kinapatikana kwenye baa za kienyeji tu lakini sa iv kinajipenyeza hadi kwenye bar maarufu. Ushauri wangu ni kwamba, mwambieni huyo mwenye kiwanda aboreshe hiyo kitu yake asije akawaua masela na hiyo sumu yake!!!