Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Wandugu wa Chitchat kesho navuka border kwenda nchi jirani ya Rwanda. Nitakuwepo jijini Kigali kwa siku 3.. Wale wadau mliopo Rwanda hebu 2ambizane. Kama itawezekana basi tuonane. Elizabeth Dominic hebu kam this side unipe mwongozo. Najua wewe u mwenyeji kimtindo maeneo yale.. Halafu nataka kila chitchat member anayetaka zawadi aiandike hapa. Nitamletea freee mpaka alipo. Afta Rwanda nitarud Tanzagiza mkoani Mwanza. So Mr. Judgement hebu andaa mchakato. Pia charminglady nawe najua upo Mwanza. Niambieni ni wapi pazuri kuwepo ili kutafuna bata mpaka kuku wafungue kesi mahakamani..
Nipo kwenye ziara ya kufanya sensa kwa wale wachaga wote ambao wapo nje ya Mkoa wa kilimanjaro ambao hawatarudi nyumbani kuhesabia.. Hakuna haja ya kujiuliza tuko wangapi. Tunajihesabu wenyewe.
Nipo kwenye ziara ya kufanya sensa kwa wale wachaga wote ambao wapo nje ya Mkoa wa kilimanjaro ambao hawatarudi nyumbani kuhesabia.. Hakuna haja ya kujiuliza tuko wangapi. Tunajihesabu wenyewe.
Last edited by a moderator: