Pipoooo....
Yaani sitaki kuamini kama saa nzima imeisha sina hata lepe la usingizi....
Nani yuko majicho akuje pande hizi tupige soga???
Babu Asprin leo hauko lindoni??
Heaven on...
jamaa mmoja alikuwa anatembea usiku,njia ielekeayo nyumbani kwake imekatiza makaburini,na siku hiyo hakukuwa na mbalamwezi.,
wakati anapita (anaogopa kwa sababu yuko peke yake)kwa mbele akamuona...
Wana wa Bodi .
Kwa muda sasa nimekua siridhishwi na niyaonayo hapa mjengoni .
Saratani ya "UBINAFSI" na "UMIMI-UMIMI" naiona kila uchao inaendelea kuushambulia mjengo ! .
Nikifunguka zaidi...
Hali zenyu bhana!!!!!!
Hivi ushawahi kukutana na hii, katika pita pita zangu nimeiona hii. Hebu pitia yako utupe majibu mujarabu hapa...........
Top Areas Of Posting
JF Chit-Chat: 6,939...
Ninapofikiria kupost chochote kile huku kwenye jukwaa la mahusiano mara nyingi huwa namfikiria Lizy. Nalazimika kuipitia kazi yangu mpaka mara kumi hata iwe ndogo vipi, sababu ya kufanya yote hayo...
eacher:- what's
wrong?
Akpos :- our house is
very small. Me, my
mum,my dad, we sleep
on the same bed.
Every night my dad
asks, 'Akpos r u
sleeping?'
Then I say No & then he
slaps my face...
:A S tongue:1,Mrembo ana tabia zote nzur ila anakuua mpatapo mali
2,,Kitandan amekaa vzr,bt golikeeper,hafanyi kazi
3,,anachukia ndugu zako,,ila mrembo,kitandan mzur,ajira anayo
4,,Gumba,,bt sifa...
Wadau wa JF,kwa muda mrefu nimeshindwa kupata jibu mahsusi la swali langu hili,KATI YA JIJI LA MBEYA NA MANISPAA YA IRINGA,UPI UKO JUU?NA UPI UNAKUA KWA KASI ZAIDI?mchango wenu wadau.
Imebidi nimpe suprise binti yangu. Amejitahidi kwenye mtihani wake wa muhula huu. ................................... Kwa kuwa shule yao imeweka matokeo yao kwenye internet nimeshukuru...
Shoga 1 alienda club ikapigwa nyimbo ya msondo ngoma....
ya "Wanaume tumeumbwa mateso....mateso!"
Shoga kusikia akaguna mmh niliyajua zamani hayo
ndo maana nikajitoa huko....
Ni habali za kusikitisha
kwani timu ya taifa ya Japani iliregeshwa makwao kutokana na utata
ulioletwa na majina ya wana kandanda hao ambayo ni matusi na yanaweza kuleta changamoto na tafakali...
madam was having trouble with one of her students in 1st Grade class.
Madam asked,'VASANT. What is your problem?'
VASANT answered, 'I'm too smart for the first-grade. My friend is in the...
kuchapiwa ni siri ya ndani...?
cc kabanga Asprin na wazee wote humu ...
Angalizo:ukichapiiwa siri yako usibebe bastola kuumua mchapaji
Source : wimbo Wa Rich mavoko moyo wng...
Naona niweke thread hii itakayokuwa inajadili mambo yanayohusiana na sisi wachanga
Kwanza nianze kwa kuuliza: Hivi Wachaga ni kabila, au ni mkusanyiko wa makabila? Maana makabila mengine mengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.