thadei kimambo
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 220
- 126
Tumeona Michael jackson alichonga pua,Ronaldinho gaucho amechonga meno,Rooney kaotesha nywele.... Je Diamond atachonga mdomo?
diamond ndo nani??
Mabinti wanataka achonge dushelele liwe saizi ya wastaniTumeona Michael jackson alichonga pua,Ronaldinho gaucho amechonga meno,Rooney kaotesha nywele.... Je Diamond atachonga mdomo?
almasi,wewe hauijui?