Sitaki kuamini!!!!!

Sitaki kuamini!!!!!

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Pipoooo....

Yaani sitaki kuamini kama saa nzima imeisha sina hata lepe la usingizi....

Nani yuko majicho akuje pande hizi tupige soga???

Babu Asprin leo hauko lindoni??

Heaven on earth uko shift ya usiku au???

Khaaaaa.... Sijui niwashe TV?? Aaaah no, ntawapigia watu kelele. Ngoja niamshe popo hapa Kijiweni!!!!!!!

:sad: :sad:
 
Last edited by a moderator:
Yooooooo.... Maweeee, hakuna mutu hata mmoko lol!!!!!! :help:
 
Pipoooo....

Yaani sitaki kuamini kama saa nzima imeisha sina hata lepe la usingizi....

Nani yuko majicho akuje pande hizi tupige soga???

Babu Asprin leo hauko lindoni??

Heaven on earth uko shift ya usiku au???

Khaaaaa.... Sijui niwashe TV?? Aaaah no, ntawapigia watu kelele. Ngoja niamshe popo hapa Kijiweni!!!!!!!

:sad: :sad:

Kichwa cha habari kimekaa kushtua shtua hahahah una mambo wewe
 
Last edited by a moderator:
Ushalala ww. Sie wa kibaha tushaamka tunaoga twende mjini kabla ya malori. Weww unawaza kulala aisee. Haya banaa
 
Mwanangu unawaza nini? Usiku wote huu hujalala?

Mummy we acha tu.... Majanja mama yangu! Mie ngoja tu nirudi nyumbani maisha ya ndoa yamenishinda.. Yaan naugeuza usiku kuwa mchana?????

Aione daddito watu8
 
Last edited by a moderator:
wii huu ujenzi wa taifa hili ni sawa na kuteka maji kwenye ndoo iliyotoboka halafu umuite mchina aizibe.... Matokeo yake ni nini?

jf new new.jpg kama hivi Wii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom