Symptoms Za Ubinafsi Chitchat mnaziona ?

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,776
Wana wa Bodi .
Kwa muda sasa nimekua siridhishwi na niyaonayo hapa mjengoni .

Saratani ya "UBINAFSI" na "UMIMI-UMIMI" naiona kila uchao inaendelea kuushambulia mjengo ! .

Nikifunguka zaidi , niseme -
Hapa mjengoni wako baadhi ya Members ambao kwa wiki nzima hawatii maguu mjengoni Chtcht kuchangia Thrade yeyote .
Bali huja na kushusha Thrade zao mara 1 kwa wiki .
Na hiyo siku 1 anayokuja hapa na Post yake , basi angekua anachangia pia na Post zingine anazozikuta .
Hachangii !
Atakomaa tu na Post yake basi .

Nachokishangaa bado unakuta baadhi ya Members wana share comments na watu sampuli hii .

Sijui nanyi wadau wenzangu , kama hili mnaliona .
Hivi wewe huna time ya ku'share vyangu , mimi ndiyo niwe maalumu wa kushare vyako !
Inayumkin ?
Nye.ge si ni kunyegeshana jamani ?
Nawasilisha !
 
Tunatofautiana sana kimawazo. Mimi sioni ubinafsi wowote hapa chitchat. Sidhani kutochangia thread ni dalili za ubinafsi. Mleta mada akumbuke kwamba kuanzia Novemba 15, kulikuwa na mgao mkali wa umeme.Baadhi yetu tulishindwa

kuingia JF kwa siku mbili tatu hivi. Mtoa mada angetoa kipindi kingine cha hali ya ubinafsi na sio kipindi ambacho wadau walikuwa na kikwazo cha kuingia JF.

Halafu hayo maneno yaliyotumika mwishoni mwa mada si stahiki, yanapunguza seriousness ya thread!
 
Hayo maneno ya mwishoni , nimeyapunguza do review!
Coz nathamini/nakubali kukosolewa .
Note : Wabinafsi niliyowalenga wapo sustainable, before power scarcity and later!
Mf. Wewe SHIEKA uwe unakuja hapa once per week ! Na ukija huchangii mada yeyote jamvi .
Una share only comments za kwenye uzi wako! Siku ikiisha huonekani kokote hadi next wik ,
Kwa style ileile .
Wote tukifanya hivyo patakuwepo jamvi?
 
Last edited by a moderator:

Ah kumbe ulikuwa unanilenga mimi? Mtu hachangii mada ili aonekane amechangia na jina lake kuekewa tik. Mtu anachangia mada kwa sababu mada hiyo inamgusa kwa namna anavyojisikia. Mimi ni hivohivo, sichangii ili niwekewe tik. Kama wewe watembea na kalamu na karatasi kuwawekea tik waliochangia na eksi wasiochangia, unavua samaki kwa kutumia kisu.
 
mi najionea kawaida tu..................siku vikinituma huwa nacomment weeee

ila thread ndo huwa sianzishagi wallahi
 
Hayo maneno ya mwishoni , nimeyapunguza do review!
Coz nathamini/nakubali kukosolewa .
Note : Wabinafsi niliyowalenga wapo sustainable, before power scarcity and later!
Mf. Wewe SHIEKA uwe unakuja hapa once per week ! Na ukija huchangii mada yeyote jamvi .
Una share only comments za kwenye uzi wako! Siku ikiisha huonekani kokote hadi next wik ,
Kwa style ileile .
Wote tukifanya hivyo patakuwepo jamvi?

hahahaaaaaaa kumbeeee SHIEKA anahusika nimechekajeee
 
Last edited by a moderator:
mie nishachangia hapa tayari
kwenye ubinafsi hata simo

Wewe hata usingetia neno mwallu haupo "kwenye wa Mimi" Btw hawakawiagi kusema "Hivi unanijua wewe mimi ni nani ?"
Au "unaelewa unaongea na nani?"
 
Last edited by a moderator:
Ah kumbe ulikuwa unanilenga mimi? Mtu hachangii mada ili aonekane amechangia na jina lake kuekewa tik. Mtu anachangia mada kwa sababu mada hiyo inamgusa kwa namna anavyojisikia. Mimi ni hivohivo, sichangii ili niwekewe tik. Kama wewe watembea na kalamu na karatasi kuwawekea tik waliochangia na eksi wasiochangia, unavua samaki kwa kutumia kisu.

Muheshimiwa! Napata tabu kukuelewa !
Hapa sijakutaja , na katika niliyowalenga wewe haukua kichwani mwangu kabisaa!
Yawezekana ikawa habari ya jiwe la gizani !
Sijui hapo nilipotumia neno "kwa mfano wewe SHIEKA unakuja ..,......."
Ndiyo ukaona nimekulenga ?
Ni kama unadandia gari ubavuni hivi , Sikuelewielewi
Neno "kwa mf." nalo nilitolee explaination?
 
Last edited by a moderator:
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom