Simuelewi kipenz changu

Simuelewi kipenz changu

loving

Senior Member
Joined
Aug 27, 2012
Posts
137
Reaction score
34
Jamani demu wangu kanuna

Sijui ni nini........lakini mbona kwenye.simu anaongea vizur na anacheka. Akimaliza saa hyo hyo nikimuongelesha anajibu shortcut au anamute. Nifanyeje aongee na mimi moyo wangu hufurahi
 
Una muda gani bila kumpa mshiko wa nguvu? Hilo laweza kuwa ndilo tatizo. Ukitaka uitwe "BABY" za umwagwe, penyeza rupia ndugu.
 
Mlete kwangu nimfunde akirudi full shangwe
 
Kwa kumuita tu demu lazima anune.Ata asiposikia inahappen automatically.Demu=Tambara bovu
 
Back
Top Bottom