Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Namuogopa sana lizy!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by GAZETI, Jul 27, 2011.

 1. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 2,906
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Ninapofikiria kupost chochote kile huku kwenye jukwaa la mahusiano mara nyingi huwa namfikiria Lizy. Nalazimika kuipitia kazi yangu mpaka mara kumi hata iwe ndogo vipi, sababu ya kufanya yote hayo ni kujiandaa na changamoto ninazoweza kuzipata kutoka kwa Lizy. Duh, yaani huyu dada namuogopa sana labda anikosoe kwa maandishi haya ambayo nimeamua kuandika bila kuyakagua. Yote kwa yote huwa najiuliza huyu dada kama ni mke wa mtu inakuwaje huko kwa mumewe?
   
 2. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,981
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  unaogopa kivuli? labda uniambie mnajuana....
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,071
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Mkuu unaogopa kivuli
  Mbona yuko poa sana yule dada ni wewe tuu hujamzoea na unaogopa kivuli chake
  tatizo hapendi zile za " Am handsome meen" maana ukija na hizo lazima upate za uso
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 36,613
  Likes Received: 16,473
  Trophy Points: 280
  u sound like u are in love with her.....
   
 5. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,071
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Perfect and this is the truth behind
   
 6. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,601
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Mcheche wako tu na kama una tabia ya kutuma hoja za kukurupuka pasipo utafiti na msimamo wenye mashiko. Mbona wengi wanaandika na anawapongeza, ukilikoroga sio Lizy peke yake wapo wengi watakukimbiza. Tena wengine hadi hutoka mapovu kwa usongo.Jipange tu ndugu akikukurupukia hata naye atatulizwa. Hadithi njoo...leta vyombo tugonge!
   
 7. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,601
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Kweli, hilo nalo NENO. Maamuzi Magumu nyuma ya Pazia..hahahah!
   
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 27,322
  Likes Received: 954
  Trophy Points: 280
  Sijaona kitu humu,upupu tu!
   
 9. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,071
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Mkuu umeona eehhh inawezekana kashatuma ujumbe akatolewa na za uso ndo maana anamuogopa
   
 10. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,246
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  bway bway teh teh fimbo ya mbali aina shabaha
   
 11. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,400
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Mi namlike sana atakuwa matron wangu siku ya kitchen pati maana mume mwenyewe atatoka humu humu jf na yeye ndo anajua jinsi ya kuishi nao
   
 12. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,246
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ujaona mbigiri
   
 13. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,071
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  No comment na hapa nareserve my comments
   
 14. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,443
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Yupi, lizy?? lizzy??
   
 15. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,601
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Hahahh......nyoka na fimbo haviuwi kwa mbali.
   
 16. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,400
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  unariserve za nini?
   
 17. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,246
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mhh ..hatari!
   
 18. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,601
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Kupita kimyakimya utasikika pia sio wote tupige marimba.
   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,200
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160

  At least bado una guts za kum face akisha ona huu uzi....lol....

  Usijali bana... jiachie, relax, be yourself na tuma salam....
   
 20. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 16,655
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  Hata mimi namshangaa,kwa nini uogope changamoto?
   
Loading...