JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hebu wasikilize wakenya na kiwahili chao...! Kwenda huko wacha kujiskia, kwenu mchele moja ilichomeka mukaita Zima moto. Ati budako ni mnono mpaka mkimpeleka kwa job lazima muende trip...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Some President Advisers sometimes find themselves in very difficult situations. Take the case of this adviser of Tanzanian President. President Kikwete told him that he wanted to change the...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo amemteua Bw Brian Jonathan Yared Kithuku kuwa Waziri Mkuu. Mh Rais pia amemteua Bw Kithuku kuwa mbunge masaa machache kabla. Bw Kithuku ataapishwa kwanza kuwa mbunge...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Siku zile za zamani zilipoanza kungia suruali huko kwetu, alitokea jamaa mmoja wa shamba akaenda kushonesha suruali mbili. Siku aliyokwenda kuzichukua, bahati akaikuta moja na moja ilikuwa bado...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwakua akifariki mwanamziki husindikizwa kwa mziki,askari husindikizwa kwa risasi na mizinga,kwanini mwalimu asisindikizwe kwa viboko?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwenu wakuu, jaman birthday ya jamiiforums ni lini? Mana nadhan ni muhim kujua ili kuweza kuikumbuka na walau kufanya hata ka-party kidogo..
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna bwana mmoja mkazi wa unguja, ila yupo london, akawaagiza nduguze wamuolee MKE. wakamuolea, jamaa akaenda unguja ili kukutana na MKEWE. Alipofika airport zanzibar kabla hajafika nyumbani...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mambo wapendwa? wakubwa zangu shikamoni....!!! dah mi nimeipenda hii kitu so naomba mnikaribishe kwenye hii forum...!!! pls... nipo chn ya mabega yenu
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Raha ya mapenzi umpate akupendae
0 Reactions
2 Replies
908 Views
Eti wanasema kumpenda m2 asiyekupenda ni sawa na kusubiri meli air pot
0 Reactions
2 Replies
780 Views
watanzania kazi tunato,,,, teh teh teh! mtoa huduma ndiyo mfalme sasa hivi.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
jamaa; kaingia msikitini na panga lililonolewa likanoleka, akawauliza waumuni waliokuwa wanangoja muda wa swala waumini; kimyaaaa jamaa; ...kwa kufoka nauliza nani muislamu hapa...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Mama: Mwanangu hebu mpigie simu babako mwambie chakula tayari. Mtoto: Sawa mama. Mtoto: Mama simpati. Mama: Basi subiri kama baada ya dakika 5 halafu mpigie tena inawezekana ni mambo ya...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
USWAZI noma!! Mama KIDAWA Ni Mjamzito, Hawezi Kumpa Mumewe Penzi. Akamwonea Huruma Kwa KIU Aliyo Nayo. Akampa elfu 5 Akamwambia Akatulize Kiu Kwa ASHURA. Jamaa Kufika ASHURA Akamtolea Nje...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Mitaa ya uswahilini utasikia Miguu kama spoki za baiskeli Tumbo kama simtenk Mdomo kama pakacha Sikio kama upawa Wa supu Kipara km uwanja Wa ndege Ndevu kama miguu ya nyuki nk Tupia Kali zako na wewe
0 Reactions
8 Replies
6K Views
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=132285&stc=1&d=1389695828 Kwako baba mwenye nyumba hii ya chit-chat Baba V na kamati yako nzima ya mahusiano, kwanza poleni na...
5 Reactions
52 Replies
3K Views
Hello wadau, Jamani naombeni info za hoteli iliyopo dar maeneo tulivu na yenye swimming pool. Maximum laki moja per room. Thanks in Advance.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Muhindi mmoja katoka tembelea wakwe zake tanga ambao pia walimpa zawadi ya mbuzi 2 na bata 4 arudi nao mjini. Wakati anarudi na gari yake njiani akasimamishwa na trafiki, wakakagua gari wakakuta...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mtoto; Baba nasikia njaa Baba; ongeza sauti tusikie wote
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom