Vunja mbavu ucheshi

Vunja mbavu ucheshi

Kukudume2013

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
1,659
Reaction score
737
Mitaa ya uswahilini utasikia
Miguu kama spoki za baiskeli
Tumbo kama simtenk
Mdomo kama pakacha
Sikio kama upawa Wa supu
Kipara km uwanja Wa ndege
Ndevu kama miguu ya nyuki nk
Tupia Kali zako na wewe
 
Sura baya had ukijiangalia kwenye kioo kioo kinandika please wait
 
Back
Top Bottom