Wakenya nao wamo (I)

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,809
Hebu wasikilize wakenya na kiwahili chao...!

Kwenda huko wacha kujiskia, kwenu mchele moja ilichomeka mukaita Zima moto.

Ati budako ni mnono mpaka mkimpeleka kwa job lazima muende trip mbili.

Budako alingia disco akasema "nani huyo anacheza na stima".

Wewe ni mshort mpaka ukikalia kwa kapeti miguu ina hang kwa hewa.

Tv yenyu ni Ndogo lazima ufunge jicho moja ndio uone picha.

Wewe mblack mpaka unasweat kiwi.

Wewe mnono mpaka ukivaa yellow watoto wanafikiria ni schoolbus.

Manzii wako ni m ugly mpaka alikataliwa ku act horror movie Hollywood.

Nyumba yenyu ni ndogo mpaka lazima utoke nje kuchange mind.

Nyanya yako ni mjinga mpaka alifail blood test.

Kwenyu nyinyi ni wa daft mpaka kupata driving licence ilibidi mpelekwe boarding school.

Wewe ni mblack mpaka mosquito ikitaka kukuuma lazima itumie torch.

Nywele za watoto wenyu ni ngumu mpaka mnazitumianga kama steel wool.

Ati siku moja ulitembea kiatu ikaisha, ukaendelea kutembea mpaka miguu ikaisha hadi kwa magoti.

Wewe ni mshort unatokanga kwa bed na parachute.

Chali yako amekonda alipeperushwa na wind mpaka S.Africa na hana passport.

Wewe ni mweusi ukikanyanga makaa unawacha footprint za blak kwa makaa.

Wewe msupuu mpaka unafanyanga miti ikuwe confused kwa barabara
 
asante bro!!!,tunao chuo hapa,tabu tupu mkitaka muongee kiswahili,inafikia kipindi unaona bora muongee kingereza,unless hamtaelewana!
 
Unapenda kuvaa nguo za color mingi mpaka chameleon ikianguka kwa nguo yako inapata black-out.

Paka yenu noma mpaka iki shika panya inaitisha chumvi na kachumbari.

Kwenu ni kuchafu mpaka mende zenu huvaa slippers

Budako mrefu mpaka aki sin God anampiga ngoto

mshaa pika chapo za christmas na mkaziweka kwa file.

Tv yenu mzee mpaka bird ikisimama kwa aerial mnaiona kwa TV

Kwenu nyinyi ni wengi mpaka mkipigwa family photo wengine wanatokea kama wame hang kwa frame.

Your nyanya is so old mpaka when I told her to act her age..........she's died.

Nyinyi maskini mpaka hamna stew mamako hupika ugali kubwa na uji ndogo ndio stew.

Nyumba yenu ni chafu mpaka mkitaka kutoka nje mnajipanguza miguu.

Wacha kujisikia na kwenyu Easter mulikula Patco na mapera.

Kwenyu nyi uamka mapema mpaka mukiwasha KBC mnaona presenter akivaa vest.

Kwenyu kuna vumbi mob mpaka coakroach zinatembea na patipati.

Budako ni mrefu mpaka anaweza kuona kesho.

TV yenyu kubwa mpaka road runner hubidi aketi chini ili apumzike.

TV ingine yenu nayo small mpaka msee wa news hupiga magoti.

Wewe mrefu mno mpaka ukinywa maziwa inafika kwa tumbo kesho yake.

Budako ni fala, alienda kubuy ngombe akaona ikikojoa akasema, sitaki hiyo, imetoboka.

Mlipatia kuku yenyu maji moto ikatega mayai boiro.

Una ngozi ya leather badala ya kuiosha wee hupiga kiwi.

Nyanyako mzee mpaka chawa za nywele yake hutembea na bakora.

TV yenyu ndogo mpako muki'watch mbio za 100m nyinyi humalizia kuiona kwa ma neighbours.

Ati nyinyi ni wengi kwenu mpaka munanza kuitwa James I, James II, James III. James IV...

Ati budako ni mjinga mpaka alipo ingia kwa matatu aliambia konda amshikie chuma ndio atoe pesa.

Budako mjinga alikosa matatu number 11 akapanda number 22 akashuka katikati.

Nyinyi ni wegi kwenu mpaka ukufungua mlango ma bro na ma sis kadhaa wanaanguka nje.

Ati budako ana magari 99 kumbe zote ni drawings.

Ati budako ni amekonda mpaka ni lazima wakuwe wawili ndio aform shadow.

Fathako ni mrefu mpaka akianza kuvaa trouser saa 12 asubuhi inapofika waist ishakuwa saa 12 jioni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom