JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Si mara yangu ya kwanza kuandika kuhusu BAK na wala si kwamba siwezi kuPm bali najikuta nashindwa kufanya iyo pengine hatanielewa ila kwa wanaojua hisia za kumpenda mtu lakini si kwa mahusiano...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Marekebisho ya Methali 2014: 1~Simba mwendapole- Huyo ni Sharobaro 2~Asiyefunzwa na *****..Ujue Mama hajapitia Ualimu 3~Zimwi likujualo.. Lilikuona Sehem 4~Chelewa Chelewa.. Ukizikusanya utapata...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Mwalimu: Taja madini yanayopatikana tanzania? Mwanafunzi: Maisilamu, Masabato, Malokole na Maromani. Mwl; safi sana mpongezeni Subiria divishen 5.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The secretary sasa atakuwa mke wangu wa pili baada ya Arabela. Naomba mwenyekiti wa cc uidhinishe ndoa hii. cc: Baba V ladyfurahia
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Jamaa: Hello mrembo, samahani, una mpenzi? Binti: Hapana. Sina mpenzi. Jamaa: Kitabu cha Mwanzo 2: 18 "Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye."...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Ndugu wadau kama mnavyojua mwaka 2013 ulikua ni mwaka wa kuchakachua kuanzia ving'amuzi, Modem, Umeme wa Tanesco, Ma PD Proxy, Ma Tunnel Guru nk Na mimi naona ni wakati muafaka nikawafundisha...
4 Reactions
38 Replies
8K Views
Tunawatakia usiku mwema mimi na familia yangu
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa watumiaji wa treni la Mwakyembe watakubaliana nami kuwa kuna raha zake ! Mojawapo ni kama hizi ni sehemu nzuri ya kukutana na watu wapya' Kuna kla aina ya watu warembo,watanashati...
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Hii naiweka baada ya jupata ridhaa yake mwenyewe! ndiyo anatoa amri 32 https://www.facebook.com/photo.php?v=642413535799696 kwa hisani ya starLisha... Copy, kiwatengu, shansarie, kabanga...
2 Reactions
131 Replies
7K Views
Ukiona paka aliyekonda maeneo ya hospitali basi jua ni mgeni!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukiona paka aliyekonda maeneo ya hospitali basi jua ni mgeni!
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Huyo Hapo ni mwana JF nitawaambia ni nani baadae.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jiangalie
1 Reactions
0 Replies
1K Views
MGONJWA: (Anaingia Ofisini Kwa Dakitari Na Kuketi) DAKITARI: Eeh! Niambie, Unasumbuliwa Na Ugonjwa Gan? MGONJWA: Ninasumbuliwa Na Ugonjwa Wa Usahaulifu Yaani Nikiongea Au Kusikia Jambo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
DISCLAIMER: Long listing Yesterday, I had just settled down with my Sunday Nation and a mug of tea when I heard a timid knock. Not expecting anyone, I was contemplating what to do if it was...
0 Reactions
2 Replies
867 Views
Mwaka 2013 NOKIA wameboresha kwa kuweka lugha ya KIJITA kwenye simu na mambo yatakuwa hivi: phonebook-ECHITABHO. Names-AMASINA. Time-OMWANYA. Ringtone-LILILILO. Settings-OMWINYANJO...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
:coffee: Leo nawasomea majina ya watu wote wanaouza unga, naanza na kigogo nambari one ambaye ni............:Cry:. yalaaa nani tena kanimwagia tindikali sioni tena hapa. Jamani chukueni...
5 Reactions
38 Replies
9K Views
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza ninauza tecno l3 kwa laki na elfu ishirini tu ( 120,000/).Hipo ktk hali nzuri ni wiki 2 toka nimeinunua. Ina kila kitu chake.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
JAJI: Nakuhukumu kwa kukutwa na mitambo ya kutengenezea gongo. MTUHUMIWA: Lakini ni mitambo tu siyo gongo mheshimiwa! JAJI: Hicho ni kithibiti tosha kabisa!. MTUHUMIWA: Basi nihukumiwe kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakubwa leo katika kuwatembelea majirani zangu nikafika kwenye nyumba moja na nikawakuta majirani zangu tukawa tunasalimiana sasa kulikuwa na dogo moja wa darasa la pili akawa anamuuliza...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom