ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
Kuna bwana mmoja mkazi wa unguja, ila yupo london, akawaagiza nduguze wamuolee MKE. wakamuolea, jamaa akaenda unguja ili kukutana na MKEWE.
Alipofika airport zanzibar kabla hajafika nyumbani akakutana na msichana mzuri akashawishika kumtongoza, wakaenda guest na wakafanya MAPENZI, Alipoenda nyumbani ili akutane na mkewe, akaambiwa ameenda sokoni,aliporudi yule msichana kumbe ndio MKE mwenyewe waliyekuwa nae gest! je huyo jamaa alizini au alilala na MKEWE?
Mume atamchukuliaje mkewe?
Mke atamchukuliaje mumewe?
Nani malaya?