JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mfano we unaishi maisha ya kawaida na magumu kiasi,mgeni akakutembelea,ukaenda kumnunulia soda,mara alipofungua ganda la kizibo cha soda akawa amejishindia million 100,akaanza kushangilia na...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
mzee NCHIMANI alienda ulaya kwa mtoto wake. kwakuwa mtoto alijua baba ni mtu wa tungi hasa gongo akampeleka BAR kufika dingi akaanza kufakamia kinywaji.mara akaanza kuimba mwanae akamwambia...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Sijui ni uhaba wa fedha January au ni kwa sababu ya ligi ya Uingereza.......Ni furaha sana kukuta lundo la vijana wamejazana wakiangalia mpira.... na amini kwa kiasi kikubwa big match huwa ziazuia...
0 Reactions
0 Replies
798 Views
Nimekulia katika jamii ya kitanzania ambayo viongozi wetu wa kisiasa sio tu wana nafasi kubwa katika nchi yetu bali hata katika Maisha binafsi Ya watanzania. Jambo ambalo naliona mimi ni ile...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
kuna madame mmoja anadai eti ananipenda while am still a student na nikimkataa huwa ananipa punishment kwa kosa dogo tu,mpaka imefikia wakati nimemchoka! nifanye nini?!
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habarini za masiku bandugu nafrahi kukutana na nyie tena siku kama ya leo nafikiri mko poa niwape pole wale wote waliopatwa na matatizo ya aina yyte ile niwape moyo na nawashauri kutokata tamaa...
0 Reactions
2 Replies
681 Views
Majuha watatu walikuwa wakishindana kuhusu nani juha zaidi kati yao... Juha 1: Mi siku moja nilivyokuwa nje ya nchi nilimpigia mke wangu simu usiku kafungua simu hakusema haloo... kulaleki! na...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
natafuta marafiki wa jinsia zote,guyz kwa ladyz & agemates wangu! one love.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamaa kamuaga mkewe kuwa anaenda semina Songea kwa wiki nzima kumbe hana lolote kahamia kwa mchuchu nyumba ya pili toka kwake. Kachukua taxi kazunguka mtaa akajitoma ndani ya nyumba ya jirani...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wapendwa wa jamiiforums eti kula mnyama alie kufa kwa kupigwa risasi ni hatari kwa matumizi kama mboga ?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Siku moja umerudi na mning'ining'io(hanover) wako ongeza na usingizi mkali wa kukesha yapata kama saa tisa unusu ama kumi ndo umeingia kulala. Yapata majira ya saa moja asubuhi mtu anakugongea...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
TEACHER:IF I GIVE U 2 CATS,AND ANOTHER 2 CATS AND ANOTHER 2, how many will u have? PAPPU: Seven Sir Teacher: Let me put it to u this way, If I give u 2 apples,and another 2 apples and another 2...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Watized wengi wanafikiria slow Kama internet ya tigo Wasomi hamna .......... Wazazi wanabaki kuwaambia watoto technology inamagonjwa Computer in virus eti inauwa Serikali inaongeza division 6...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekumiso mpenzi wangu japo niko mbali kikazi ila hisi upendo wangu kwako.nimekukumbuka sana.kesho narudi home walau nije iona sura yako tu nitarizika.i love u so much my preety.mwaaaaaaaaaaaaaaaah
2 Reactions
25 Replies
2K Views
girls are like computer virus,they enter in your mind aNd scan your pocket,traNsfer your money and download problems,remove your happiness and sometime they can shutdown your life,,,,,,,,.
0 Reactions
0 Replies
923 Views
''Ukiona upo katika mahusiano yanayokufanya ulie kila siku!jiulize,huyo ulienae ni MPENZI au BOMU LA MACHOZI.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukimtumia msg mpenzi wako i love u, atajibu i love u 2! ukimwambia i miss u atakujibu i miss u 2! mwambie nakutumia 100,000/= kwenye m-pesa uone atajibuje?? TAFAKARI CHUKUA HATUA!
0 Reactions
1 Replies
3K Views
iddd aminialisema '' nyerere is beautiful if he was a woman i would marry her. naskia hapa nyerere akasirika sana. kutokana na ukarimu wa malkia wa uingereza idd amin akamshukuru akamwambia...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Bila shaka hamjambo wanajamvi wote,kwa wale ambao wanaumwa nawaombea afya njema kwa Mungu. Ndugu zanguni wanajamvi nilifiwa juzi 15/01/2014,na mtoto wangu ambaye alifariki muda mfupi baada ya...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom