Kwenu wakuu, jaman birthday ya jamiiforums ni lini? Mana nadhan ni muhim kujua ili kuweza kuikumbuka na walau kufanya hata ka-party kidogo..
Aaah mbona ghafla ghafla hvy hata mda wa kuandaa kamat tutakosa!!
kwenu wakuu, jaman birthday ya jamiiforums ni lini? Mana nadhan ni muhim kujua ili kuweza kuikumbuka na walau kufanya hata ka-party kidogo..
Basi, subiri tena mpaka mwakani
Dah! Ilikua lini hiyo?