Ktk kufanya usafi ndani ya ndege, jamaa akaokota kitabu kilichoandikwa jinsi ya kuendesha ndege akasoma 'kuwasha ndege bofya kitufe chekundu akabofya ikawaka', bofya bofya cha bluu ili itembee...
Salaam wandugu,
Kuna watu ni waoga sana wa uchawi na mbinu wanazotumia ni vichekesho vitupu.Mimi nimeshuhudia baadhi wakilala na biblia au Koran kitandani,wengine wanaweka tura au ndulele...
Salaam wandugu,
Ninaomba kama wahusika wa kampuni hii mpo naomba mzingatie ushauri huu.Kwa kifupi jina lenu limetumika vibaya sana hasa kwenye haya mambo ya Sodoma na Gomola.Imefika mahali mpaka...
Habari zikufikie popote ulipo, Furaha yangu na tumaini kubwa ni mwenye furaha na upendo tele Kheri ya mwaka mpya 2014 natumaini mwaka huu utakuwa mwenye furaha na amani ijazayo moyo wako.
sio...
Katika jambo ambalo ningeomba litekelezwe kama ningepewa wasaa huo na mwenyezi Mungu, basi ningeomba anirudishe japo miaka 25 nyuma maana naona kila birthday Mtakatifu anazidi kuzeeka....Ila sina...
leo i am new born nimetimiza miaka 23 tu my mama anasemaga nisijipe presha za ajabu ajabu nile raha za utoto kwanza
yeye ananiona bado kinda sana ukizingatia ni mtoto wa mwisho ndo...
House girl alipewa kazi na mzungu, mara akavunja sahani.
Mzungu aliporejea: What happening with my plate?
House girl: The dog wowoww friji paaa, mchuzi mwaaaa the sahani ngelengenjee...
KUTOKANA NA MWAKA KUANZA VIBAYA BAADA YA KILA KITU KUPANDA BEI IMEBIDI NIFANYE HIVI.... INTERNAL MEMO
-----------------------
FROM: HUSBAND
TO: ALL DEPENDANTS ; RELATIVES; sFRIENDS
CC: Wife...
Watani zangu Wamakonde wanatabia ya kuchangamkia majina ya vitu vinavyokuwepo mahali alipo au kufuatana na msimu. Enzi zile ilikuwa sio ajabu kusikia mtoto wa Kimakonde anaitwa 'Chipoku au...
wanajf
salaam,baada ya salaam napenda kuwashukuru kwa kipindi kifupi mlichokuwa pamoja nami tangu nilipojiunga hapa mwishoni mwa mwaka jana.Na tumaini Mungu akinijalia nitarudi tena niungane...
Mfano ikatokea tunachagua viongozi wa JF...... Je! ungependa nani awe Mwenyekit, Nan mweka hazina na nani awe katibu wa JF..... Tiririka tuone ni akina nani wenye nyota na matarajio ya kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.