Mbinu wanazotumia waoga wa uchawi

Mbinu wanazotumia waoga wa uchawi

twende kazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,520
Reaction score
461
Salaam wandugu,
Kuna watu ni waoga sana wa uchawi na mbinu wanazotumia ni vichekesho vitupu.Mimi nimeshuhudia baadhi wakilala na biblia au Koran kitandani,wengine wanaweka tura au ndulele mfukoni,wengine wanawasha taa usiku kucha wakiamini mchawi anaroga gizani tu,wengine analala huku anapiga nyimbo za injili usiku kucha na nyengine ametia fora jamaa mmoja amenambia yeye anafungulia Emanuel tv usiku kucha.Wakuu kama kuna nyengine tiririkeni.Na je hawa wanaoamini hivyo tunawashauri nini?
 
Washanga bangi ndani mchawi wala jini hawatii timu ndani hata siku moja.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom