Tigo mbadilishe jina mnadhalilishwa sana

Tigo mbadilishe jina mnadhalilishwa sana

twende kazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,520
Reaction score
461
Salaam wandugu,
Ninaomba kama wahusika wa kampuni hii mpo naomba mzingatie ushauri huu.Kwa kifupi jina lenu limetumika vibaya sana hasa kwenye haya mambo ya Sodoma na Gomola.Imefika mahali mpaka mtu akikwambia naomba tigo yako unaweza rusha ngumi au unakuta jitu linakwambia nikurushie kwenye tigo yako basi ni kero tupu.

Tunaomba mbadilishe tigo yenu tupumue tumechoka kudhalilishwa kwa sababu ya jina la mtandao wenu.Halafu muondoe na hivyo vijineno vyenu kabang sijui mini kabang vimekaa kishari shari tu.Mtasikia mtu kala za chembe siku moja kwa ajili yenu.Kazi kwenu.
 
Tigo hawana kosa kosa kwa nyie mliobadilisha matumizi ya jina.
 
Back
Top Bottom