Happy Birthday Mtakatifu Paka Mweusi....

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2010
Posts
7,991
Reaction score
5,234
Katika jambo ambalo ningeomba litekelezwe kama ningepewa wasaa huo na mwenyezi Mungu, basi ningeomba anirudishe japo miaka 25 nyuma maana naona kila birthday Mtakatifu anazidi kuzeeka....Ila sina jinsi zaidi ya kusema Happy Birthday to me.....
 
Wish u all u wish 4 urself.
 
1315917-bigthumbnail.jpg
 
hongera sana mkuu Mungu akupe afya njema na uzidi kula uzee wako mpaka 150miaka
Katika jambo ambalo ningeomba litekelezwe kama ningepewa wasaa huo na mwenyezi Mungu, basi ningeomba anirudishe japo miaka 25 nyuma maana naona kila birthday Mtakatifu anazidi kuzeeka....Ila sina jinsi zaidi ya kusema Happy Birthday to me.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom